Hivi kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi?

eden kimario

JF-Expert Member
Jun 13, 2015
10,233
16,202
Hapa nifafanue kidogo ndoa zinazotambulika ni zile ambazo umekwisha toa mahari au kutolewa Mahari ile ya Kanisani au Msikitini inakua ya kubariki ndoa yenyewe tu.

Sasa tuje kwenye swali ni kosa kufanya ngono nje ya ndoa? Na kama ni kosa mbele za Mungu basi adhabu inatuhusu sisi ambao hatujafunga ndoa achilia mbali kubariki ndoa.

Na wale walioko kwenye ndoa ambao walifanya ngono kabla ya ndoa nao adhabu inawahusu hakuna kukwepa kwakuwa naamini hakuna alietubu.

Na hapa ndipo tunapomletea Mungu dharau tumeshindwa kua imara kabisa katika eneo hili hapa kupindua inakua ni ngumu na sijui kama kuna mtu yeyote amefaulu huu mtihani sijui labda mjipendekeze tu hapa.
 
Hukumu yaja mkuu!..
 

Attachments

  • 1454414478917.jpg
    1454414478917.jpg
    99.7 KB · Views: 63
Tena Biblia inasema nimesahau mstari kwamba aziniye Hana akili kabisa.
 
Back
Top Bottom