Anna Leonard
JF-Expert Member
- Jan 30, 2016
- 219
- 118
Mithali 6 : 32 " Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. "
Kweli kabsa
Mithali 6 : 32 " Mtu aziniye na mwanamke hana akili kabisa. Afanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake. "
Sasa tunafanya kwa hisani ya Nani haya mamboKwan hujui ...hakuna dini inayorusu hivyo
Kufanya ngono siyo dhambi, ila kukataa mimba, au kumbambikia mtu mwingine mimba ndiyo dhambi.
Ulishinda huu mtihani kama ulishinda hongera sanaNi bora utubu na Mungu atakusamehe...kwan hufurah sana pindi mwanae anapogeukia toba
HahahaaSiyo dhambi, kama wanaofanya ngono hawafungwi na sheria
Nini tofauti ya uzinzi na uasherati katika bibilia?
Kazi ipo kwa kweli na hapa watu tunategemea kutubu tukifikiri tutasamehewa wakati tunaifanya kila wakati hivi mungu husamehe MTU anaerudia dhambi hiyohiyo kila wakati?ndio ni dhambi ila watu wanaona si dhambi
Labda uwe mmetoleana mahari ambayo hata msikitini au kanisan nasikia wanaiulizia kama imetoka au badoHivi Kama mtu na mpenzi wake ambaye hawajafunga ndoa kanisan/msiktn n.k lakini wamekubaliana kwamba wao ni mke na mume je kuna dhambi hapo?au wakimuomba Mungu awabariki lakini suyo kupitia kanisa/msikiti kuna dhambi hapo?
Umetoa mahari mkuuNdoa ni makubaliano yenu bana.... hakuna dhambi hapo!
Sio dhambi ila ni makosa kutumia viungo zailishi bila kufuata taratibu[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hapa nifafanue kidogo ndoa zinazotambulika ni zile ambazo umekwisha toa mahari au kutolewa Mahari ile ya kanisani au msikitini inakua ya kubariki ndoa yenyewe tu
Sasa tuje kwenye swali ni kosa kufanya ngono nnje ya ndoa ?
Na kama ni kosa mbele za mungu basi adhabu inatuhusu sisi ambao hatujafunga ndoa achilia mbali kubariki ndoa
Na wale walioko kwenye ndoa ambao walifanya ngono kabla ya ndoa nao adhabu inawahusu hakuna kukwepa kwa kua naamini hakuna alietubu
Na hapa ndipo tunapomletea mungu dharau tumeshindwa kua imara kabisa katika eneo hili
Hapa kupindua inakua ni ngumu na sijui kama kuna mtu yeyote amefaulu huu mtihani sijui labda mjipendekeze tu hapa
Labda uwe mmetoleana mahari ambayo hata msikitini au kanisan nasikia wanaiulizia kama imetoka au bado
Ha ha ha sasa huyo kijana atamlisha nin bibie. Maana kuoa/kuelewa maanayake unaingia rasmi kwenye majukumu ya familia. Sasa kama hujawa tayar bado uozeshwe tu??.Ili kuepuka hii zambi ya kuzini itabidi pale tu kijana anapo balehe aozeshwe la sivyo huu ni km mtego wa panya wenye chakula tena kitamu na panya ananjaa,,Mungu atusamehe tuu,,,,sijui nimwoZeshe mapema kijana wangu kumwokoa na dhambi hii
Nabii Tito njoo huku utoe maelekezoInabidi aje hapa maana ishakua kama bendera
Haswa hicho ndio kina fanya vijana weng kuzin,,mambo ya shule na mengne tufanyaje sasa ili hii zambi tusiipateHa ha ha sasa huyo kijana atamlisha nin bibie. Maana kuoa/kuelewa maanayake unaingia rasmi kwenye majukumu ya familia. Sasa kama hujawa tayar bado uozeshwe tu??.
Swali lingekuwa hivi " Ni kwanin watu wanazin"?Haswa hicho ndio kina fanya vijana weng kuzin,,mambo ya shule na mengne tufanyaje sasa ili hii zambi tusiipate
Mkuu hiz hisia za kimapenz zinapenya mpaka kwenye hijabu hapa niwaozeshwe tuu hawa vijana kama enz zile za kina nabii Issa au Maswahaba angalia hata arabun hakuna huu ujinga wa kuzin vijana wanaozeshwa na shuhuli za kujiletea maendeleo zinaendelea hakuna uzinz arabun mkuuSwali lingekuwa hivi " Ni kwanin watu wanazin"?
Hapo nadhani tungepata majibu ya jinsi ta kujikinga na zinaa.
Swla kubwa hapa ni tamaa. Mimi na jua kwa kijana ambaye ni lijali na hii life style ya dada zetu kuepuka zinaa imekuwa shida sana. Pengine hilo lingepatiwa ufumbuzi pasingekuwa na muda wa kutamaniana. Unaanza kumtaman mtu aliyejifunga hijabu anaonekana macho tu. Haya mambo yanachangiwa sana na mhemko wa hisia za mtu na mazingira
Sasa mtu asie na akili atakuwaje na dhambiTena Biblia inasema nimesahau mstari kwamba aziniye Hana akili kabisa.