Hivi kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi?

Hivi kufanya ngono kabla ya ndoa ni dhambi?

Mkuu hiz hisia za kimapenz zinapenya mpaka kwenye hijabu hapa niwaozeshwe tuu hawa vijana kama enz zile za kina nabii Issa au Maswahaba angalia hata arabun hakuna huu ujinga wa kuzin vijana wanaozeshwa na shuhuli za kujiletea maendeleo zinaendelea hakuna uzinz arabun mkuu
Ha ha ha hiyi balaa. Zinapenya mpaka kwenye hijabu. Mie naonaga tu mtu anatembea sijui kama mweupe au mweusi au anakijungu. Shida ya siku hizi wanafanya modification mpaka ya hizo jibabu. Unakuta mtu kajifunika viziri kabisa laikin sehemu moja tu kaibana acha kabisa
 
Hapa nifafanue kidogo ndoa zinazotambulika ni zile ambazo umekwisha toa mahari au kutolewa Mahari ile ya Kanisani au Msikitini inakua ya kubariki ndoa yenyewe tu.

Sasa tuje kwenye swali ni kosa kufanya ngono nje ya ndoa? Na kama ni kosa mbele za Mungu basi adhabu inatuhusu sisi ambao hatujafunga ndoa achilia mbali kubariki ndoa.

Na wale walioko kwenye ndoa ambao walifanya ngono kabla ya ndoa nao adhabu inawahusu hakuna kukwepa kwakuwa naamini hakuna alietubu.

Na hapa ndipo tunapomletea Mungu dharau tumeshindwa kua imara kabisa katika eneo hili hapa kupindua inakua ni ngumu na sijui kama kuna mtu yeyote amefaulu huu mtihani sijui labda mjipendekeze tu hapa.
Je! Unazijua Amri? Tembelea Kitabu cha Musa Cha (Kutoka Sura ya 20:1-17) Mungu Anakataza Uzinifu lakini Ametuambia Ni Bora Kuoa Kuliko Kuwaka Tamaa Yaa Uzinifu. Tembelea Kitabu Cha Hekima Za Mfalme Selemani Cha (Mithali 5:15-18) Mke Mtamu Bwana.
 
Je! Unazijua Amri? Tembelea Kitabu cha Musa Cha (Kutoka Sura ya 20:1-17) Mungu Anakataza Uzinifu lakini Ametuambia Ni Bora Kuoa Kuliko Kuwaka Tamaa Yaa Uzinifu. Tembelea Kitabu Cha Hekima Za Mfalme Selemani Cha (Mithali 5:15-18) Mke Mtamu Bwana.
Sawa tuoe je tuoe tukiwa na umri gani maana hisia huja pale msichana au mvulana anapobalehe je tuoe Mara tunapobalehe maana MTU anabalehe huku akiwa msingi aoe anaendelea sec je aoe huku akiwa sec ni ngumu mpaka hapo ameshazini Mara kibao tu
 
Uasherati ni kufanya kabla ya ndoa na uzinzi ni kuchepuka (ukiwa ndani ya ndoa halaf unakuwa na mwingne pembeni....huo ni uzinzi)
Uasherati ni kufanya ngono kwa kuvunja sheria, mfano, mtu mwenye ndoa kufanya nje ya ndoa au asiye na ndoa kufanya na aliye ndani ya ndoa, uzinzi ni kufanya mara nyingi kupindukia hata kama ni ndani ya ndoa, yaani kama ulevi
 
Yaani hata kufikiria tu zinaa, tayari unakuwa umezini. VIPI KUZINI KWENYEWE??????
 
Back
Top Bottom