Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,837
Karne ya 15 Wareno wameshakuja Hadi Mombasa na kujenga Fort Jesus, Karne ya 15 Wazungu walikuwa wakiwapakiaNani Kasema huu ni Uzushi Usawa huo wa Nini na Nini wakati waafrika wanaishi kwenye Mapango na Nyumba Za Tembe Wenzako Walikuwa wana makazi Mazuri. Hizi story Mnazitoa wap
maelfu ya Waafrikaa kwenye meli na kuwapeleka kwenye mashamba Huko Brazil, Carribean na USA
Sasa tulikuwa sawa kivipi?