Hivi Korea Kusini waliwapa nini mabeberu tulikua the same 60's

Kuna mtu amewaahidi wananchi wake akipewa kura nchi yake itakua kama Ulaya ndani ya miaka mitano.

Mwingine akidai itakua kama Dubai Abu Dhabi
JamiiForums-732787915.jpg
 
watu weupe wana hulka ya kuamini katika akili zao tofauti na mtu mweusi, pindi tutakapogundua elimu inatokana maarifa ya mtu yeyote bila kujali rangi huo ndo utakua mwanzo wa kujikwamua tofauti na tunavoamini sasa kua elim inatokana na mzungu
 
Hivi korea kusini waliwapa nini mabeberu?Miaka ya 60 tulikua sawa kiuchumi tena wakiwa maskini kuliko hata sisi

Leo wapo mbali na mabeberu wamewabeba sana

Mimi najiuliza waliwapa nini mabeberu hadi wakafika walipo?
Na sisi je?
Beberu hajambeba mtu.

S. Korea waliamua kuwaona wazungu kama wadau wa maendeleo.

Wakashirikiana kwenye nyanja zote. Leo hii wapo mbali sana.

Sio S. Korea tu, Singapore, New Zealand, Vietnam, Hong Kong, S. Africa kabla ya Xenophobia na Zimbabwe kabla ya uhuru.

Nchi za kikomunist zinaendeshwa kipropaganda. Kuwaaminisha mabeberu kama wanyonyaji wakati watawala ndo wanafaidi keki ya taifa. Na nchi hizo ni masikini wa kutupwa.

Mf. Tanzania, China, Russia, Zimbabwe ya baada ya uhuru, Venezuela, Burundi, n.k.
 
Sasa mabeberu sio wanyonyaji
 
Hivi korea kusini waliwapa nini mabeberu?Miaka ya 60 tulikua sawa kiuchumi tena wakiwa maskini kuliko hata sisi

Leo wapo mbali na mabeberu wamewabeba sana

Mimi najiuliza waliwapa nini mabeberu hadi wakafika walipo?
Na sisi je?

korea hawakutoa chochote kwa mabeberu ila wajijiwekea sera ya viwanda pamoja na kuhimiza wananchi wapige kazi ndio matokeo yake hayo,ila nasikia huko korea kusini na North kuna watu wana shida sana bora huku kwetu maana hata wali ni tabu
 
Watanzania hizi Propaganda zipo tangu enzi za Mwalimu kuwafariji watu kwamba eti nchi kama Korea kusini kuna watu wanashida kuliko huku Tz...changanya na zako...hizo ni siasa za kijamaa za kuwaficha watu kinachoendelea nje ili wazidi kuwa wapumbavu....ndo mana kwao media huru huwa ni adui yao mkubwa...ili kueneza propaganda zao kirahisi...Korea kaskazini wanafanya hivyo na sisi tumerudi tena huko awamu hii..ni kuimba nyimbo za kusifu tu kwenye media...huku kila raia akiaminishwa kisichokuwepo kuwa kipo.

Uongo Ukirudiwa sana hugeuka ukweli_Bashiru Ally(Katibu mkuu CCM)
 
sawa mkuu
 
korea hawakutoa chochote kwa mabeberu ila wajijiwekea sera ya viwanda pamoja na kuhimiza wananchi wapige kazi ndio matokeo yake hayo,ila nasikia huko korea kusini na North kuna watu wana shida sana bora huku kwetu maana hata wali ni tabu

Korea kusini mi donor country sasa hivi.. ndio.nchi inayoongoza kuunda na kuuza meli duniani.. ndio makao.makuu ya Samsung na LG, KIA etc.. wanauza bidhaa zao dunia nzima..kusema korea kusini kuna watu masikini kutuzidi ni kujifariji tu
 
Hivi korea kusini waliwapa nini mabeberu?Miaka ya 60 tulikua sawa kiuchumi tena wakiwa maskini kuliko hata sisi

Leo wapo mbali na mabeberu wamewabeba sana

Mimi najiuliza waliwapa nini mabeberu hadi wakafika walipo?
Na sisi je?

Korea kusini.baada ya kupigwa vibaya na japani.miaka ya.mwanzoni mwa 50..walichoka sana na wakawa hawana pa ku egemea! Marekani aliona hiyo opportunity akajipenyeza na propaganda zake ..ili kulindwa na USA korea akapewa sharti la kutoa askari wengi kupigana vita vya Vietnam kuisapoti USA..korea ikajitolea zaidi ya 50% ya askari wake kuisapoti marekani kwenye vita vya Vietnam walikufa vibaya sana wakorea kwenye ile vita.. marekani akaifanya korea kama nchi yake nyingine na military base kwa ukanda ule wa Asia.. korea ni marekani ya Asia na inajengwa na kulindwa na marekani.. miji.kama yoounsung kila hatua tatu Unakutana na mwanajeshi wa marekani.. korea wameuza utu wao kwa hofu tu ya kutekwa na japan..ila pamoja na yote jamaa ni wachapa kazi sana.. hawanaga vijiwe vya kupiga story kama sisi
 
Hivi korea kusini waliwapa nini mabeberu?Miaka ya 60 tulikua sawa kiuchumi tena wakiwa maskini kuliko hata sisi

Leo wapo mbali na mabeberu wamewabeba sana

Mimi najiuliza waliwapa nini mabeberu hadi wakafika walipo?
Na sisi je?
Ni kwamba hawakuwahi kubahatika kupata mtu wa kuwaambia wazungu wanaitwa mabeberu
 
Back
Top Bottom