Hivi Komando ni mtu wa Sifa gani na uwezo wake upoje?

Tatizo ndio lipo hapo tuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mafunzo ya kiraia pekee, huwezi ukamdhibiti maana ukomandoo Kuna aina nyingi Sana za martial arts zinazofundishwa, kuanzia Kombat karate, judo Kombat, taekwondo, Muay Thai, kick boixing, n.k ambazo Ni za kuua adui na siyo kufurahisha watazamaji.

Sasa ujidanganye na black belt ya karate za akina lady Jay Dee!

Unakula pigo moja tu fahamu zinakata!

Huyo haniambii kitu mimi.
 
Makanyaga, ..yaani komando mmoja awe na uwezo wa kupambana na askari 27-50?, hapo anakuwa anatumia bunduki au mikono (ngumi) ?

Je kama na hao askari wana bunduki?
 
Hicho ndicho kinachomfanya aitwe Komandoo, na si mabawa kwenye shati lake. Wanajeshi wanaposema SPECIAL FORCES, hawasemi hivyo kisiasa, they mean it. Komandoo mmoja yuko meant kwa ajili ya kupigana na platoon nzima na KUISHINDA
Kwa hiyo kwa Tanzania wapo wenye uwezo huo uliousema?
 
Makanyaga, ..yaani komando mmoja awe na uwezo wa kupambana na askari 27-50?, hapo anakuwa anatumia bunduki au mikono (ngumi) ?

Je kama na hao askari wana bunduki?
Kumbe wanapocheza kwenye movie huwa mnaona maigizo ya kutunga? Sylivester Satallone (Rambo) ameigiza ndiyo lakini alichoigiza ni halisi. Katika uhalisia, komandoo huwa anapigana na kundi la watu kama hao
 
92 Kj, pale hata masoja wa kawaida wanapaogopa, maumivu ndiyo tiba yangu "Pain is My Medicine" they say that.
FB_IMG_1495363925553.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Komando, comando, comandoooo..

Najiulizaga tu...

- Ni mtu wa aina gani?
- Kazi yao nnn?
- Uwezo wake upoje?
- Umeshawah kumuona live?
- Je, wanatofautiana baina ya mmoja na mwingine?

Nasikiaga eti tule jamaa MWEUSI TII anayevaa suti , anayesimama pembeni ya "MKULU" ETI ni komando. Sijui kweli?
Kwani huwa huangalii viwanjani kwenye sherehe za serikali kitaifa? Au unawadharau vile wanavunja tofali? Ingia kwenye anga zao ndio utamjue yeye komando au kamanda
 
Back
Top Bottom