Hivi Komando ni mtu wa Sifa gani na uwezo wake upoje?

Kuna komando mmoja nilikuwa naishi nae jirani, siku zote sikuwahi kufahamu kama ni komando, alinizoea ghafla hadi tukabadilishana no za simu... Kaanza kunitumia picha zake wakiwa na wenzie huko mafunzoni wakiwa wanakula vyakula vya ajabu...Baada ya kumuuliza uliza vimaswali vingi vingi akadai yeye ni komando... Nikamtia na block kabisa (Sijui niliwaza nini).
Hukuliwa kimasihara kweli? Malizia story
 
.
c1_1773284.jpg
 
Kuna jamaa naishi nae kwenye kampaundi moja...nahisi sio mwanajeshi wa kawaida...kutokana na matendo yake:-

Kwa toka nimjue siku niliyojua kwamba ni mjeda...niliona mkewe akifua magwanda.

Asubuhi anatabia ya kuruka kamba na kupiga push-up, hapa kwenye push up ndio huniacha hoi jamaa huwaita mkewe na watoto zake wawili wakaa mdogoni analafu anakuondokea push up kama 100 hv.

Hlf lijamaa lina hela mbaya kabisa linagawaga kotoni za henken na windock kama anagawa machungwa vile kwa hiyo sisi wapangaji wapenda ulabu jamaa anafanyaga hivyo kila anapokuwa nyumban week end

Nakumbuka kuna siku tulienda nae taifa kucheck gemu tukatumia gari yangu...akasema tupitie sheli..akanijazia full tank mpaka niliona aibu maana kagari kangu kamezoea mafuta ya 10k kama boda boba

Jamaa ukicheck mkono wake ulivyojaa narcos utasema anachimbaga mawe..kikubwa ninachofanya nihisi hvy..mwenye nyumba ni capten wa jeshi ila kwa jinsi anavyomuheshimu jamaa, nahisi jamaa sio mtu wa kawaida kabisa.

Akiwepo kila mtu anaufyata
 
Komando kwa herufi "K" ni wajinga fulani ambao wamekubali akili yao itumiwe na watu wengine kuliko wao kutumia akili yao
 
Sijajua sifa.
Ila uwezo uwe kama hawa
Komando, comando, comandoooo..

Najiulizaga tu...

  • Ni mtu wa aina gani?
  • Kazi yao nnn?
  • Uwezo wake upoje?
  • Umeshawah kumuona live?
  • Je, wanatofautiana baina ya mmoja na mwingine?

Nasikiaga eti tule jamaa MWEUSI TII anayevaa suti , anayesimama pembeni ya "MKULU" ETI ni komando. Sijui kweli?
 
Mcheki Rambo au komando kipensi
 
Kuna jamaa naishi nae kwenye kampaundi moja...nahisi sio mwanajeshi wa kawaida...kutokana na matendo yake:-

Kwa toka nimjue siku niliyojua kwamba ni mjeda...niliona mkewe akifua magwanda.

Asubuhi anatabia ya kuruka kamba na kupiga push-up, hapa kwenye push up ndio huniacha hoi jamaa huwaita mkewe na watoto zake wawili wakaa mdogoni analafu anakuondokea push up kama 100 hv.

Hlf lijamaa lina hela mbaya kabisa linagawaga kotoni za henken na windock kama anagawa machungwa vile kwa hiyo sisi wapangaji wapenda ulabu jamaa anafanyaga hivyo kila anapokuwa nyumban week end

Nakumbuka kuna siku tulienda nae taifa kucheck gemu tukatumia gari yangu...akasema tupitie sheli..akanijazia full tank mpaka niliona aibu maana kagari kangu kamezoea mafuta ya 10k kama boda boba

Jamaa ukicheck mkono wake ulivyojaa narcos utasema anachimbaga mawe..kikubwa ninachofanya nihisi hvy..mwenye nyumba ni capten wa jeshi ila kwa jinsi anavyomuheshimu jamaa, nahisi jamaa sio mtu wa kawaida kabisa.

Akiwepo kila mtu anaufyata
umenifurahisha Sana mafuta ya 10k, kikubwa gari Zima
 
Ukomando sio cheo ni mafunzo ambayo mwanajeshi anapitia,ni special force training ambayo ni wachache wanayopitia
 
Back
Top Bottom