Hivi kitimoto huwa inafaa kutengenezewa mishikaki?

Azarel

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
28,414
39,491
Habarini Wadau,
Inaaminika kuwa kitimoto ni nyama tamu sana kuliko nyama zingine nyingi tu, kwa walioionja au wanaoitumia.

Ila, sijawahi kuona mishikaki ya nyama ya nguruwe, nimezoea kuona mishikaki ya beef, chicken na hata ya pweza.
Ni kwamba kitimoto na utamu wote haufai kutengenezewa mishikaki?

Kuna mtu aliniambia haifai kwaajili ya mafuta mengi kuishia jikoni.
Kuna ukweli katika hilo?
Msaada tafadhali.

Wabillah Tawfiq,
 
Sio kitimoto tu kitamu.Vitu vyote vya haramu watumiaji yanasema vitam.Mfano:-madawa ya kulevya,pombe,uzinzi,kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile...
Bado hujanijibu swali langu mkuu ila umeleta maelezo mengine.

Kitimoto kinafaa kutengenezewa mishikaki?
 
Sio kitimoto tu kitamu.Vitu vyote vya haramu watumiaji yanasema vitam.Mfano:-madawa ya kulevya,pombe,uzinzi,kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile...
Kitimoto ni chakula huwezi kulinganisha na uzinzi na madawa ya kulevya.Kitimoto ni haramu kwa asiekula lakini ni halali kwa anaekula.Kitimoto ni nyama tamu kuliko hata kuku lakini yule alieanza kula na kuona haramu naona alikula kwa kupupa na ule wingi wa mafuta ulimpelekea kuhara ndipo akaita hii haramu.
 
Habarini Wadau,

Inaaminika kuwa kitimoto ni nyama tamu sana kuliko nyama zingine nyingi tu, kwa walioionja au wanaoitumia.

ILA, sijawahi kuona mishikaki ya nyama ya nguruwe, nimezoea kuona mishikaki ya beef, chicken na hata ya pweza.

Ni kwamba kitimoto na utamu wote haufai kutengenezewa mishikaki?

Kuna mtu aliniambia haifai kwaajili ya mafuta mengi kuishia jikoni.

Kuna ukweli katika hilo?

Msaada tafadhali.

Wabillah Tawfiq,
Inafaa ila nyama ya maeneo ya paja na shingoni
IMG-20161118-WA0025.jpeg
 
Njoo huku sinza maeneo ya Africasana kuna sehemu nitakupeleka ipo mpk ya kuchoma
 
Back
Top Bottom