Hivi kinachompa RC na DC mamlaka ya kumuweka mtu rumande ni nini?

ww utakuwa huna shughuli au mradi unaokuingizi kipato hivyo hata ukikaa jela huna unachpoteza. watu hawaogopi kukaa magereza bali watu wenye vipato wanajali muda wa kuingiza kupotea. kwa usiongee kwa kejeli kwa kudhani watu wanaogopa mazingira au msosi wa jela.
...kwahiyo tumbo kwanza,si eti mzee wa kuingiza kipato!
.kweli ukombozi baadae sana!
 
Sero ni gheto tu kama kweli umekojolea katiba, ila kama ni umefanyiwa uhuni ni kwa hovyo sana.
....siasa ni mchezo mchafu,kwahiyo 'uhuni' haukwepeki;ni lazima!
..kwahiya kamanda wa ukweli hatakiwi kuogopa selo,vinginevyo akakune nazi na dada zake!
 
Back
Top Bottom