Hivi kinachompa RC na DC mamlaka ya kumuweka mtu rumande ni nini?

Mwanahabari Huru

JF-Expert Member
Mar 9, 2015
14,248
2,000
Hivi kinachompa RC na DC mamlaka ya kumuweka mtu rumande ni nini? I mean hiyo mamlaka ya kisheria alipewa kwa sababu gani? What were the motives behind? Simply kwa sababu ameteuliwa na Rais au? Hivi kinachompa RC na DC mamlaka ya kumuweka mtu rumande ni nini? I mean hiyo mamlaka ya kisheria alipewa kwa sababu gani? What were the motives behind? Simply kwa sababu ameteuliwa na Rais au? Hivi DC na Mbunge nani mwenye uhalali kwa wananchi? Mbunge aliyechaguliwa na wananchi au DC aliyeteuliwa na mtu mmoja? Katika kujenga public trust DC anazidiwa hata na mbunge wa viti maalumu. DC anaweza kuteuliwa simply kwa sababu aliwahi kumbebea begi aliyemteua. Sasa mtu kama huyu anapewaje mamlaka ya kuweka watu korokoroni kwa kadri anavyojisikia? Hivi hatuwezi kubadili sheria hawa "appointees" wakaondolewa hiyo mamlaka? Maana wanaimisuse sana. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama anapaswa kuwa mwenyekiti wa halmashauri/Mayor na sio DC/RC. By the way nafasi za DC/RC kwa sasa hazina tija tena. Zimebaki kuwa nafasi za kuongeza hasara kwenye nchi. Hakuna logic ya kuwa na DC wakati una Mayor/Mkiti wa Halmashauri, Mkurugenzi, Mbunge, DAS plus DC. Kwenye premise moja kuna viongozi watano. DC akitoa maagizo haya, Mbunge anakuja kuyapinga, na kwa sababu yeye ana watu nyuma yake anapata uhalali wa kumpinga DC ambaye hana mtu yeyote nyuma yake zaidi ya mkewe/mumewe. Kuendelea na vyeo vya DC/RC ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi. By the way majukumu ya msingi ya DC ni kufungisha ndoa na kutoa vyeti vya vizazi na vifo. Hivi vyeo viondolewe kwenye Katiba.! Mbunge aliyechaguliwa na wananchi au DC aliyeteuliwa na mtu mmoja? Katika kujenga public trust DC anazidiwa hata na mbunge wa viti maalumu. DC anaweza kuteuliwa simply kwa sababu aliwahi kumbebea begi aliyemteua. Sasa mtu kama huyu anapewaje mamlaka ya kuweka watu korokoroni kwa kadri anavyojisikia? Hivi hatuwezi kubadili sheria hawa "appointees" wakaondolewa hiyo mamlaka? Maana wanaimisuse sana. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama anapaswa kuwa mwenyekiti wa halmashauri/Mayor na sio DC/RC. By the way nafasi za DC/RC kwa sasa hazina tija tena. Zimebaki kuwa nafasi za kuongeza hasara kwenye nchi. Hakuna logic ya kuwa na DC wakati una Mayor/Mkiti wa Halmashauri, Mkurugenzi, Mbunge, DAS plus DC. Kwenye premise moja kuna viongozi watano. DC akitoa maagizo haya, Mbunge anakuja kuyapinga, na kwa sababu yeye ana watu nyuma yake anapata uhalali wa kumpinga DC ambaye hana mtu yeyote nyuma yake zaidi ya mkewe/mumewe. Kuendelea na vyeo vya DC/RC ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi. By the way majukumu ya msingi ya DC ni kufungisha ndoa na kutoa vyeti vya vizazi na vifo. Hivi vyeo viondolewe kwenye Katiba.!

Malisa GJ
 
sifongo

JF-Expert Member
Jun 5, 2011
4,825
2,000
Kwakweli hayo madaraka wakati nwingine yanatumika vibaya sana, nimesoma mahali kuna mmoja huko arusha kamuweka mwandishi ndani, kiss kakerwa na ripoti yake.......kuonyesha yeye ni mbabe nasikia kuna waandishi wakawa wanamfuata wamhoji khs mwenzao......loh.....mkwala aliowachimbia eti kama kuna mwanaume anifuate kunihoji.......wallah kama Mimi ndio ningekuwa mkuu wa kaya huyo jamaa hana kazi.
 
Mkwawe

JF-Expert Member
Jun 10, 2016
1,773
2,000
Tatizo ni kwamba nyie mnafikiria sana na kuyaona hayo mapungufu nyakati hizi wakati wenzenu wanajua wanachokifanya kwa mustakabali wa faida zao binafsi, si kwamba hawajui kama hakuna umuhimu wa kulundika viongozi wote kwenye nafasi moja ila wakitilia maanani suala hili 'watajiajiri' vipi? "HATUSHINDI KWA KUWA TUNASIMAMA KATIKA UHALISIA, ILA KWA KUWA TUNASIMAMA KWA YALE TUNAYOYAAMINI" Chamwande-Mkwawe
 
Mulhat Mpunga

JF-Expert Member
Oct 28, 2010
27,357
2,000
awamu hii viongozi karibu wote hawajui la kufanya huyu wa arusha amemuweka mwandishi wa habari kwasababu yeye= mkuu wa wilaya hajatimiza wajibu wake anaogopa kutumbuliwa
hawajielewi hawajui la kufanya wanaburuzwa na magufuli

mtoa taarifa kasaidia kumjulisha tatizo lilipo badala alifanyie kazi yeye anamuweka ndani wananchi na sisi tuanze kutumia mabavu ndo tutaenda sawa naona haya majitu ya ccm hayaelewi wala hayaeleweki

mimi sio mchochezi nimeichoka ccm
 
Born 2 Be Wild

JF-Expert Member
Jan 3, 2014
1,079
2,000
Kwakweli hayo madaraka wakati nwingine yanatumika vibaya sana, nimesoma mahali kuna mmoja huko arusha kamuweka mwandishi ndani, kiss kakerwa na ripoti yake.......kuonyesha yeye ni mbabe nasikia kuna waandishi wakawa wanamfuata wamhoji khs mwenzao......loh.....mkwala aliowachimbia eti kama kuna mwanaume anifuate kunihoji.......wallah kama Mimi ndio ningekuwa mkuu wa kaya huyo jamaa hana kazi.
Eti kama kuna mwanaume aje kunihoji, hii nchi inaendeshwa kwa mazoea sana watu wanajichukulia maamuzi yao bila sheria kuwaruhusu.
 
Nkanaga

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
655
500
Katiba mpya yenye maoni na matakwa ya wana wa nchi hii penzi ya Tanzania ndiyo suluhisho na jibu! Kateuliwa jaji juzi, ataapishwa na mtukufu, atafanya kazi zake mbalimbali, lakini kubwa zaidi 2020 atakuwa ndiye boss wa kutangaza matokeo ya uchaguzi ulioshindanisha mtukufu raisi aiyemteua na wagombea wengine. Katiba yenye maoni ya wana wa Tanzania
 
Babati

JF-Expert Member
Aug 7, 2014
34,502
2,000
Kwakweli hayo madaraka wakati nwingine yanatumika vibaya sana, nimesoma mahali kuna mmoja huko arusha kamuweka mwandishi ndani, kiss kakerwa na ripoti yake.......kuonyesha yeye ni mbabe nasikia kuna waandishi wakawa wanamfuata wamhoji khs mwenzao......loh.....mkwala aliowachimbia eti kama kuna mwanaume anifuate kunihoji.......wallah kama Mimi ndio ningekuwa mkuu wa kaya huyo jamaa hana kazi.
Jamaa ni miungu watu
 
Ruttashobolwa

JF-Expert Member
Feb 22, 2012
47,614
2,000
Hivi kinachompa RC na DC mamlaka ya kumuweka mtu rumande ni nini? I mean hiyo mamlaka ya kisheria alipewa kwa sababu gani? What were the motives behind? Simply kwa sababu ameteuliwa na Rais au? Hivi kinachompa RC na DC mamlaka ya kumuweka mtu rumande ni nini? I mean hiyo mamlaka ya kisheria alipewa kwa sababu gani? What were the motives behind? Simply kwa sababu ameteuliwa na Rais au? Hivi DC na Mbunge nani mwenye uhalali kwa wananchi? Mbunge aliyechaguliwa na wananchi au DC aliyeteuliwa na mtu mmoja? Katika kujenga public trust DC anazidiwa hata na mbunge wa viti maalumu. DC anaweza kuteuliwa simply kwa sababu aliwahi kumbebea begi aliyemteua. Sasa mtu kama huyu anapewaje mamlaka ya kuweka watu korokoroni kwa kadri anavyojisikia? Hivi hatuwezi kubadili sheria hawa "appointees" wakaondolewa hiyo mamlaka? Maana wanaimisuse sana. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama anapaswa kuwa mwenyekiti wa halmashauri/Mayor na sio DC/RC. By the way nafasi za DC/RC kwa sasa hazina tija tena. Zimebaki kuwa nafasi za kuongeza hasara kwenye nchi. Hakuna logic ya kuwa na DC wakati una Mayor/Mkiti wa Halmashauri, Mkurugenzi, Mbunge, DAS plus DC. Kwenye premise moja kuna viongozi watano. DC akitoa maagizo haya, Mbunge anakuja kuyapinga, na kwa sababu yeye ana watu nyuma yake anapata uhalali wa kumpinga DC ambaye hana mtu yeyote nyuma yake zaidi ya mkewe/mumewe. Kuendelea na vyeo vya DC/RC ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi. By the way majukumu ya msingi ya DC ni kufungisha ndoa na kutoa vyeti vya vizazi na vifo. Hivi vyeo viondolewe kwenye Katiba.! Mbunge aliyechaguliwa na wananchi au DC aliyeteuliwa na mtu mmoja? Katika kujenga public trust DC anazidiwa hata na mbunge wa viti maalumu. DC anaweza kuteuliwa simply kwa sababu aliwahi kumbebea begi aliyemteua. Sasa mtu kama huyu anapewaje mamlaka ya kuweka watu korokoroni kwa kadri anavyojisikia? Hivi hatuwezi kubadili sheria hawa "appointees" wakaondolewa hiyo mamlaka? Maana wanaimisuse sana. Mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama anapaswa kuwa mwenyekiti wa halmashauri/Mayor na sio DC/RC. By the way nafasi za DC/RC kwa sasa hazina tija tena. Zimebaki kuwa nafasi za kuongeza hasara kwenye nchi. Hakuna logic ya kuwa na DC wakati una Mayor/Mkiti wa Halmashauri, Mkurugenzi, Mbunge, DAS plus DC. Kwenye premise moja kuna viongozi watano. DC akitoa maagizo haya, Mbunge anakuja kuyapinga, na kwa sababu yeye ana watu nyuma yake anapata uhalali wa kumpinga DC ambaye hana mtu yeyote nyuma yake zaidi ya mkewe/mumewe. Kuendelea na vyeo vya DC/RC ni matumizi mabaya ya rasilimali za nchi. By the way majukumu ya msingi ya DC ni kufungisha ndoa na kutoa vyeti vya vizazi na vifo. Hivi vyeo viondolewe kwenye Katiba.!

Malisa GJ
edit habari yako..umeiweka kama fungu la nyanya
 
lukindo

JF-Expert Member
Mar 20, 2010
8,481
2,000
...ni unyonge uliochanganyika na ujinga wetu! Kumbuka mnyonge mwerevu ana unafuu mkubwa.
 
Kibao

R I P
Nov 8, 2007
634
500
Ninavyo fahamu Katiba yetu inaruhusu Mkuu wa Mkoa anaweza kumweka mtu ndani kwa masaa 48 na Mkuu wa Wilaya kwa masaa 24. Na anaweza akakutoa halafu akaamuru ukamatwe tena ukawekwa ndani kwa masaa hayo. Kuna Mkuu mmoja wa wilaya huko nyuma wakati Mhe Rais Mwinyi akiwa madarakani aliwahi kutumia vibaya madaraka yake akawa anamweka mtu ndani halafu analala na mke wake. Ilikuja julikana akatumbuliwa na Raia Mwinyi
 
kabombe

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
25,032
2,000
Chadema bana,kabla ya kuuliza ma DC na RC,muulizeni mbowe amepata wapi madaraka ya kumfukuza mwenyekiti wa wilaya ya kyela?na amepata wapi madaraka ya kumkata mgombea siku ya uchaguzi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom