Hivi kile kigari kinachopiga kelele usiku wa manane ni cha nani?

wa stendi

JF-Expert Member
Jul 7, 2016
24,688
26,797
Yani kuna kigari sijui ni Alteza sijui ni subaru ikifika muda wa saa sita unusu hadi tisa hivi usiku wa manane huko barabarani kuna kigari hua kinapiga kelele sana zile za mufler/exousity.

Hivi huyu mwenye hicho kigari au dereva muda huo anakuwa anachezea hicho kigari kwa kuwa muda huo barabara inakuwa free kwa maana kwamba matrafiki hawapo au kwa kuwa muda huo babrabara inakuwa nyeupe ndio anachezea anavyotaka..
 
Hicho kigari kinapita nchi nzima mida hiyo?
 
Wewe mda huo unakuwa unasubiri nini kulala au mwanga?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Au ndo hiki kimekatiza hapa Mwigobero kinaelekea kinesi nini?

 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…