GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,216
Nauliza tu kwamba hivi ukiwa ni Waziri Mkuu huwezi tu kutoa matamko au maelekezo yako bila ya kufoka foka ( kupovuka? ) na bado Watu wakayaelewa na kuyatelekeza? Nipo ziarani huku Ugenini nchini Puerto Rico na kila mara ninapomsikia au kumtizama Waziri Mkuu wetu wa huku Puerto Rico yeye ni kufoka foka tu, kukasirika na kupovuka kwa sana kiasi kwamba muda mwingine amekuwa akiwashangaza wana Puerto Rico wengi.
Kwakuwa Mimi ni Mtanzania na huku nipo Ugenini kabisa naomba niwaulizeni na nyie Ndugu zanguni mliopo huko Nyumbani Tanzania je na nyie Waziri Mkuu wenu anafanana na huyu Wetu huku nchini Puerto Rico?
Mnadhani ni kitu gani labda kizuri sana Waziri Mkuu wetu huku nchini Puerto Rico anaweza kujifunza pengine kutoka kwa Waziri Mkuu wenu wa sasa huko Tanzania?
Nitawashukuruni kwa ushirikiano wenu na salamu zenu nyingi mno kutoka huku nilipo Kimatembezi nchini Puerto Rico.
Nawasilisha.