Hivi katika umri gani mwanaume anakuwa hana aibu tena?

Mkulungwa01

JF-Expert Member
Jul 14, 2021
3,979
5,295
Ni swali ninalojiulizaga mno na umri wangu huu wa miaka 30 kuelekea 31, hivi katika umri gani aibu huondoka kabisa? Kiasi kwamba unaweza kulala mpaka na colleague wako(mfanyakazi mwenzako).

Pia hujiuliza mno je, ni umri upi aibu ya kuvuja clip yako ukifanya mapenzi na msichana huondoka kabisa na huhofii chochote?

Umri upi unaweza kuruhusu msichana akakagua mwili wako wote ukiwa uchi? Kila eneo, kukunyoa sehemu za siri(anus na above penis, under armpits etc)?

Mimi nina 30 yrs now ila siwezi kabisa kumruhusu wife aninyoe nywele za kwenye anus yangu, nipo radhi aninyoe kwapani na juu ya dushe. NIMEFOSI NIMESHINDWA KABISA.

Mpaka umri huu siwezi kusex na wife kwenye mwanga, huzima taa. Mnawezaje wazee wenzangu? Naelekea 31 ila kubwa zaidi ni hili la kunyolewa na wife on my anal area.

Japo nimefunga ndoa ila nina aibu mno...
 
Kwani mumeo ana miaka mingapi binti?
 
Back
Top Bottom