Ubungoubungo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2008
- 2,502
- 739
kile ni kipaji adimu mkuu...! NDO MAANA WANAITWA WAIGIZAJI...!!
kama vile mtu safi anaweza akaigiza kama jambazi lenye roho mbaya ...lakini in reality he is not..! ITS NO BIG DEAL..!
Hii inaonyesha jinsi ambavyo anavaa uhusika wa nafasi yake anazoigiza..................... HIVI UNADHANI WALE WANAOIGIZA UJAMBAZI......... NI MAJAMBAZI KWELI.........???? AU TUSEMEM MNAUMIA TABIA ZENU ZIKIIGIZWA..........????hivi joti ni mwanaume kweli? au ndo hivyo tena kama wanavyosema mitaani wengi....jamani kwa wale ambao wako karibu naye, hivi tupeni story, manake kuna uvumi kuwa si riziki. kwa upande wangu, nilivyomwangalia jinsi anavyoigiza, nikaona hakika hata kama angekuwa riziki, ile kuigiza anaweza kuwa ameingiliwa na mapepo ya kutokuwa riziki...hivi mlishawai kumwona hata na mdada tu ameongozana naye auuuuu, vipi?
orijino comedi ni agent wa ccm na shetani. kitendo chao cha mwanaume kuigiza kama mwanamke hata mimi kinanikera kupita kiasi. wale wa FUTUHI wa star tv mbona wanaigiza safi tu? wao wananini? na wako sambamba na shehe yahya....msaidieni joti jamani nyie mlio kairbu naye....
hahahaha hahaha
joti ni msanii mwenzangu. ila mie ni mtalaam wa anatomy. nikiangalia mdomo wake nahisi kuna vitu oversize vinapitia mdomoni hapo au ameulegeza ili uonekane wa haiba ya kike. Angalia taya zake anavyoongea utaona ziko kama zimewekewa spring zisivutike zaidi.
Anaigiza vyema ila anapitiliza kwenye ukike mpaka inatia aibu.
Mimi nimeiweka TBC1 PG yaani parental guide kwa sababu ya kipindi hichi tu
hivi joti ni mwanaume kweli? au ndo hivyo tena kama wanavyosema mitaani wengi....jamani kwa wale ambao wako karibu naye, hivi tupeni story, manake kuna uvumi kuwa si riziki. kwa upande wangu, nilivyomwangalia jinsi anavyoigiza, nikaona hakika hata kama angekuwa riziki, ile kuigiza anaweza kuwa ameingiliwa na mapepo ya kutokuwa riziki...hivi mlishawai kumwona hata na mdada tu ameongozana naye auuuuu, vipi?
orijino comedi ni agent wa ccm na shetani. kitendo chao cha mwanaume kuigiza kama mwanamke hata mimi kinanikera kupita kiasi. wale wa FUTUHI wa star tv mbona wanaigiza safi tu? wao wananini? na wako sambamba na shehe yahya....msaidieni joti jamani nyie mlio kairbu naye....