hivi JOTI wa zecomedi ni mwanaume?

3.jpg


Ananichekesha sana anaposema... "Habali ya Taaaaa..... Tuuuu..."
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Tukutuku
hapa ume mtukutua, u make me laugh sana unamaana anapigwa poooooooooool, daaaaaah
 
nawezaa kukubaliana na huyu...unajuaa ile na kazii ya sanaa,inawezekanaa yuko vizuri kabisaa ila kutokana na kazi lazima afanye vile,joti ana fit...pande zote kamaa mtoto,babu,bibi..na vingine vingi.mbonaa mamtoni kina martin wana act as mabibi ilaa sio ma pungaa,nahisii ni mtazamo tu
kile ni kipaji adimu mkuu...! NDO MAANA WANAITWA WAIGIZAJI...!!

kama vile mtu safi anaweza akaigiza kama jambazi lenye roho mbaya ...lakini in reality he is not..! ITS NO BIG DEAL..!
 
uyu ni punga, amini msiamini. si mtoto wa magomeni huyu? kwa wale walioishi magomeni kipingi yeye anakua wanajua utundu wake...na hao wanaothibitisha kumwona kwa macheni je?

afu, mwanaume gani anayeweza kufurahia kufanya kama joti bila hiana, mwanaume ni mwanaume tu jamani, lazima aibu kidogo itakuwepo,lakini mshikaji hana aibu kabisa na anafanya kwa moyo. watoto wetu wanajifunza polepole na lile liroho ya ushoga la kina joti linawaingia polepole. KIBAYA ZAIDI, TV YA TAIFA NDO INAYONESHA HAYO. angalieni wale wa FUTUHI wa startv mjifunze namna ya kuigiza.
 
Nyie acheni hizo, kwa hiyo unataka kusema Lawrence Martin kwenye Big Momma House naye ni shoga. Mbona kuna mashoga mabaunsa ua hamjui nini? Sio lazima mtu kuigiza kama mwanamke ndio uwe shoga. Kuweni na mitazamo chanya.
 
Huna lolote unachuki tu binafsi mbona wakuvanga anaigiza kama mama bere hujamsema? mbona hao futuhi wanigiza kama wanawake hujawasema? mbona bambo kuna comedy ameigiza kama mwamke hujamsema? na dhani hujui maana halisi ya neno UIGIZAJI
 
joti anakipaji kikubwa sana alichojaliwa na sir GOD i don thnk dat mtu makin na critical thinker anaweza kufikiri kwa joti ni punga,halafu mkuu mbona hata hao futuhi unaowapenda ww wanaigiza kama mademu hujawaseam,mi nadhani humkubali joti kiwazwaz ila more than80% ya wa tz/watu wanaofuatilia kipindi cha akina joti included ww joti asipokuwepo unaboreka
 
Thats uigizaji mkuu-ndo maana hata wale wengine waliokuwa wanaigiza kama wachawi au kuwatesa watto wa kambo mtaani walijikuta wakipgwa na wa2,but in reality si kwamba ndo wapo ipo.wapo ofisin so wanabehave the way ofisi inavoytaka kupelekwa-thats all
 
Wadau msiwe na mawazo mepesi namna hiyo!!! hii ni sanaa tu anayofanya Joti Unajua kwenye sanaa lazima wakati mwingine uigize kitu ambacho hata wewe hujawahi kufanya kwa mfano kunywa pombe
 
jamani joti ni mwanaume mwenzetu,na mimi sishangai kwa yeye kuigiza ukike mlio soma boding za boyz mnafahamu kwenye maigizo huwa inakuwaje,na lingine yule jamaa ni msanii kamili kwani anaweza kuigiza nyanja zote,utoto,ubishoo,uanamuziki,mambo ya dini na mengine mengi kitu ambacho wasanii wengi hapa nchini hawajafikia hicho kiwango,halafu mi naona hakuna haja ya kuleta uchama kwenye kila kitu,mwacheni atafute ela kwani ni kipaji chake hicho
 
Aibu ona wewe bana, yeye yuko kazini na anaingiza siku, mbona wewe huoni aibu kukiacha kitand alfajiri kuwahi foleni usichelewe job, kuna vitu tunasahau wasanii wa nyumbani wakifanya vizuri tuna waponda wakati tulitakiwa kuwapa moyo, joti ni mzima tena anaezakua ndo boyfriend wa dadaako, na anamfikisha mbaya shauriako ongea sana tu.
 
jamani, hiii inaweza kuwa hoja, uigizaji ule ni wa kutilia mashaka kabisa. tuseme ukweli, mimi watoto wangu nimewapiga marufuku kuangalia kina joti..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom