Hivi Joshua Nasari yupo wapi

Mara ya mwisho alionekana Kisutu akimsalimia Mbowe na wanachama wengine wakati wa kesi yao hivi karibuni.

Jamaa kachoookaa!
 
Jamaa wewe eti kachoka watanzania daaa!! ni sheeeeda

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo liko wapi hapo?? Basi akili yako ishaingiza siasa hapo.

Mimi nimezungumza kibinadamu tu.

Kama umemuona kipindi hiki ebu fananisha na enzi za ubunge haihitaji taaluma yoyote kuonesha jamaa amechoka whatever kwa stress/ugumu wa maisha etc , nadhani swala la kuvuliwa ubunge lilimvuruga sana.
 
Nakumbuka siku yanatangazwa matokeo yake na yule Sioi sikulala..nilikesha kusubiria matokeo..naikumbuka sana hiyo siku..na maneno aliyoongea..tulikesha na baba..shenz nasema
 
Nakumbuka siku yanatangazwa matokeo yake na yule Sioi sikulala..nilikesha kusubiria matokeo..naikumbuka sana hiyo siku..na maneno aliyoongea..tulikesha na baba..shenz nasema
Kwan aliwapigia cm mkakeshee matokeo yake.?..😂
 
Screenshot_20210325-180345_1.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom