Airtel Huduma kwa wateja mbovu sana. Napiga simu wanajitambulisha wanakataa kuongea!

Sir John Roberts

JF-Expert Member
Mar 1, 2017
9,622
15,951
Hivi nyie makampuni ya simu hasa Airtel mnajitambua kweli? Nampigia muhudumu wa wateja anapokea ananiambia sikusikii , mwengine anapokea anajitambusha akimaliza haongei.

Hivi mnajua naweza kuwapeleka mahakamani kuwashtaki? Ni saa nzima sasa nashindwa kupiga simu nashindwa kuunganishwa na mtandao wenu mnajua nimepoteza kiasi gani katika muda huo?

Nadhani nina kila sababu ya kuwapeleka mahakamani na mtanilipa fidia na muda wangu mlionipotezea. Pumbavu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi nyie makampuni ya simu hasa Airtel mnajitambua kweli? Nampigia muhudumu wa wateja anapokea ananiambia sikusikii , mwengine anapokea anajitambusha akimaliza haongei...
Kuna mama mmoja boss huko Airtel ni mchawi sanaaa hataki kustaafu apishe changes yeye anaroga wenzie watoke abaki yeye.....anaitwa Bibi Adriana....mchawi balaa nasikiaaa...shida ipo hapooo
 
Kuna mama mmoja boss huko Airtel ni mchawi sanaaa hataki kustaafu apishe changes yeye anaroga wenzie watoke abaki yeye.....anaitwa Bibi Adriana....mchawi balaa nasikiaaa...shida ipo hapooo
Itabidi wateja tumroge sasa hakuna namna analihujumu shirika
 
Hivi nyie makampuni ya simu hasa Airtel mnajitambua kweli? Nampigia muhudumu wa wateja anapokea ananiambia sikusikii , mwengine anapokea anajitambusha akimaliza haongei...
Nunua simu wewe acha kutumia kifaa cha kuhifadhia laini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom