Hivi, jirani kwanini hununui gari?

Hivi, jirani kwanini hununui gari?

Wengi tulipata wazo la kujenga vyumba viwili vya haraka na kuamia kwasababu ya manyanyaso ya wenye nyumba, sijutii kwakuwa ilinisaidia sana na kuhamia kwangu. Sasa wewe take it in a positive way, binadamu ndivyo tulivyo haiwezekani uje uniombe msaada siku ya kwanza nikupe, unakuja tena siku ya pili na ya tatu, unadhani nitakaa kimya. Ilikupasa wewe mwenyewe uone aibu kwanza, huwezi kuwa unapanda lift ya mtu bure tu kila siku huchangii hata kidogo, ilikupasa ujue jinsi ya kula na kipofu. Hata unapoanza maisha na kuwa kwa ndugu yake wa aina yeyote yule ingawa ndugu yako anafinance kila kitu basi ingawa kipato chako kidogo yakupasa siku za mwisho wa mwezi japo kununua kilo kadhaa za mchele na kigereni cha korie sio wewe upo tu. Hiyo barabara, ulistahili kuwatreate that way kwakuwa akili zako hazina akili za kufikiria kuwa unaweza ukachangia japo lita 5 kwa mwezi akili zako zinakueleza kuwa huyo jamaa ni tajiri na anaweza afford kila kitu huo ni wehu.

Jamani leo naona jirani yangu niliyezoea kumuomba 'lift',
nadhani huenda baada ya 'kunichoka' kutokana na katabia
kangu ka kumuomba lifti wakati wa kwenda kazini.

Huenda aliamua kunitolea uvivu, au pengine nilikuwa namboa, au pengine
kwa mtazamo wake, anadhani ninao uwezo au labda ni ubahili
wangu.......hata sijui why....ila kifupi mara baada ya kupanda, akionekana
hana furaha, neno lake la kwanza likawa 'Hivi jirani kwa nini hununui
gari likusaidie usafiri wa kwenda na kurudi ofisini? Abiria wengine wawili walokuwa
ndani ya gari walibaki kuangaliana tu, maana nao kama wasaidiwa
huenda walihis hilo 'dongo' linawahusu pia

Kwa kuhisi huenda jamaa kanichoka, nililoweza kufanya ni
kuguna tu, mhhhhhh bila kujibu kitu huku nikiwa na aibu tele usoni.
Baada ya kwenda kama mita 70 hivi, nikajidai nimesahau simu na kumuomba jamaa
anishushe niirudie simu yangu nyumbani. Baada ya kushuka
nikapanda zangu daladala na kuelekea job.

Hapa kazini hii stori imekuwa gumzo kwani abiria wale wengine waliifikisha
hii skendo ofisini na imekuwa gumzo la siku. Kila mtu 'ananitania' kwa kurudia
kauli ya mshikaji, 'Hivi jirani kwa nini hununui gari'? Nabaki nacheka tu hapa
ofisini!
 
sasa kwanini hununui gari? hadi amesema ina maana anakuona una uwezo. sasa kwanini hununui gari?
hata mie niliwaza kama wewe, lakini huwezi jua akili ya mtu inawazaje, si unaona humu wengine jinsi walivyofunguka unaweza ukajua kumbe lift zinawakera wenyewe wenye magari yao. dawa hapa ni kutopanda aisee, kwani unaweza hata ukapanda hiyo mara moja bado ukawa umemkera mwenye mali
 
Mkuu, naona kwenye avatar yako unakunywa mkojo wa nyani...kwa style hiyo utaweza kununua gari kweli?inaelekea wewe ni mbahili hata wa maji ya kunywa!

ma***** yako yana ukurutu we!
 
na wewe umezidi,lift mwaka wa pili sasa kila siku,kachoka
 
Kwa sasa najenga, hivyo nimeona ni vyema nijenge kwanza wakati huu ambao bado nakaa nyumba za bure za ofisi, then ikiisha niipangishe, then hela itakayotokana na kodi ya pango nichanganye na nyingine ndo ninunue gari. Unajua nini nisingependa mwanangu atakapo-join university mwakani basi hiyo kodi ya nyumba ndiyo itumike kumlipia tuition fees maana nataka asome kozi yenye future na sio ile atakayochaguliwa na TCU. Sipendi asome kwa mkopo wa HESLB.

Kwa kuwa dodoma nyumba ya kupanga sasa si chini ya 350,000 kwa mwezi, nadhani kodi ya mwaka ya millioni 4, katoto kataweza kusomeshwa na kodi ya nyumba tofauti na kama nikinunua gari ambalo litakuwa linavyonza tu mfuko wangu.

Sasa hapo juu ni program yako - ya maendeleo na mipango yako - HIVYO UNATAKA JIRANI AKUSAIDIE USAFIRI?? JIFUNZE KUJITEGEMEA ........... KAMA HUNA GARI SI UPANDE PUBLIC TRANSPORT????? KILA MTU ANA MAISHA YAKE BANA

1. Ukipanda gari lake unamnyima UHURU ndani ya gari - labda anataka KUOMBA ndani ya GARI; KUIMBA
KUTOA HEWA CHAFU (TAFSIDA IMEZINGATIWA) ETC. NAWEWE KILA SIKU IMO UTADHANI UMEKODI

2. Unapoingia ndani ya hilo gari ........... HALI YA HEWA INAKUWAJE??? LABDA HUPIGI HATA DEODARANT - AU UNAONGEA SANA NA KUM- BORE - AU HUONGEI KABISA .........

3. Unapenda DEZO - hata huchangii MAFUTA YA GARI ETC.

USHAURI: KUWA MWANAUME WA UKWELI ........TATUA MATATIZO YAKO MWENYEWE ..... USIMTEGEMEE JIRANI:car:
:car:
 
Hii mada pia ni ya hapa MMU!!! Anyway, kwa kuwa umeposti hapa ngoja tuchangie! Kwa kifupi jamaa inaonekana kachoshwa na tabia yako ya kuomba lifti, so anauliza indirectly kukupa meseji tu kuwa kachoka.

Kimtazamo si tabia njema aliyoionyesha, maana kila mtu ana priorities zake katika maisha na pia kununua gari kunategemea na other factors ukiacha hizo priorities kama uwezo nk.

Babuu njoo na wewe nikuhonge gari jamani.usije kukuta na haya.mana vijana wa siku hizi gari kwanza chumba kimoja kapanga sinza.iphone blackberry show off za kufa mtu.

Kweli dunia imebadilika enzi zetu sie tulikuwa tunakimbilia nyumba ukimaliza unanunua baskeli ya kwendea shamba.
 
Jamani leo naona jirani yangu niliyezoea kumuomba 'lift',
nadhani huenda baada ya 'kunichoka' kutokana na katabia
kangu ka kumuomba lifti wakati wa kwenda kazini.

Huenda aliamua kunitolea uvivu, au pengine nilikuwa namboa, au pengine
kwa mtazamo wake, anadhani ninao uwezo au labda ni ubahili
wangu.......hata sijui why....ila kifupi mara baada ya kupanda, akionekana
hana furaha, neno lake la kwanza likawa 'Hivi jirani kwa nini hununui
gari likusaidie usafiri wa kwenda na kurudi ofisini? Abiria wengine wawili walokuwa
ndani ya gari walibaki kuangaliana tu, maana nao kama wasaidiwa
huenda walihis hilo 'dongo' linawahusu pia

Kwa kuhisi huenda jamaa kanichoka, nililoweza kufanya ni
kuguna tu, mhhhhhh bila kujibu kitu huku nikiwa na aibu tele usoni.
Baada ya kwenda kama mita 70 hivi, nikajidai nimesahau simu na kumuomba jamaa
anishushe niirudie simu yangu nyumbani. Baada ya kushuka
nikapanda zangu daladala na kuelekea job.

Hapa kazini hii stori imekuwa gumzo kwani abiria wale wengine waliifikisha
hii skendo ofisini na imekuwa gumzo la siku. Kila mtu 'ananitania' kwa kurudia
kauli ya mshikaji, 'Hivi jirani kwa nini hununui gari'? Nabaki nacheka tu hapa
ofisini!

Watu wengine huwa mnakosa kabisa majibu ya haraka haraka na ya kuzuia maswali mengine.
Ungemuambia kuwa unajaribu kuzuia msongamano wa magari usiongezeke!! halafu unaendeleza mazungumzo ya foleni za mjini mnaendelea kujadili hilo la foleni za magari. Kwisha habari yakeeee na masimango yake
 
Jamani leo naona jirani yangu niliyezoea kumuomba 'lift',
nadhani huenda baada ya 'kunichoka' kutokana na katabia
kangu ka kumuomba lifti wakati wa kwenda kazini.

Huenda aliamua kunitolea uvivu, au pengine nilikuwa namboa, au pengine
kwa mtazamo wake, anadhani ninao uwezo au labda ni ubahili

wangu.......hata sijui why....ila kifupi mara baada ya kupanda, akionekana
hana furaha, neno lake la kwanza likawa 'Hivi jirani kwa nini hununui
gari likusaidie usafiri wa kwenda na kurudi ofisini? Abiria wengine wawili walokuwa
ndani ya gari walibaki kuangaliana tu, maana nao kama wasaidiwa
huenda walihis hilo 'dongo' linawahusu pia

Kwa kuhisi huenda jamaa kanichoka, nililoweza kufanya ni
kuguna tu, mhhhhhh bila kujibu kitu huku nikiwa na aibu tele usoni.
Baada ya kwenda kama mita 70 hivi, nikajidai nimesahau simu na kumuomba jamaa
anishushe niirudie simu yangu nyumbani. Baada ya kushuka
nikapanda zangu daladala na kuelekea job.

Hapa kazini hii stori imekuwa gumzo kwani abiria wale wengine waliifikisha
hii skendo ofisini na imekuwa gumzo la siku. Kila mtu 'ananitania' kwa kurudia
kauli ya mshikaji, 'Hivi jirani kwa nini hununui gari'? Nabaki nacheka tu hapa
ofisini!

na ndio maana mimi nikanunua kagari kangu maana watu wanahisi unawamalizia hewa kwenye vigari vyao khaaaa....wakikukuta njiani km hawakujui na wakati mnakaa street moja....na mimi nna langu fuuul respect...hawajui kuwa ipo siku
 
Aisee kwa kweli ni dalili ya kushoshwa na kuomba kwako lift,
Lakini huyo nae anadhani gari ni kipaumbele kwa kila mmoja,
Naamini ni limbukeni wa magari maana hata kama angekupa lift mwaka mzima bado alitakiwa kujua kuwa kila kitu kinafanyika kwa mipango.

Kwa kifupi huyo bwana amekosa Busara na zaidi inawezekana hana maarifa.
Pole sana Mkuu.

Angalia upande wa pili wa shilingi. Huyo Bwana na yeye kajinyima ili ajirahishie kwenda na kuludi kazini. Anajaza mafuta kila siku. Kama unaona Gari siyo priority kwako, basi panda daladala na uache kusumbua watu na kuomba lift kwako.
 
siitaji ng'ooooooooooo!

mkuu hui ni upepo tu utapita na wewe utamiliki la kwako.... ni swala la muda tu
ubinadamu kazi sana mkuu hajui maisha yanabadilika ikitokea siku likipata ajali na wewe ukipita ukampa lift atasemaje?
ndio maana FM akademia waliimba leo kwako kesho kwangu..
 
Kwa sasa najenga, hivyo nimeona ni vyema nijenge kwanza wakati huu ambao bado nakaa nyumba za bure za ofisi, then ikiisha niipangishe, then hela itakayotokana na kodi ya pango nichanganye na nyingine ndo ninunue gari. Unajua nini nisingependa mwanangu atakapo-join university mwakani basi hiyo kodi ya nyumba ndiyo itumike kumlipia tuition fees maana nataka asome kozi yenye future na sio ile atakayochaguliwa na TCU. Sipendi asome kwa mkopo wa HESLB.

Kwa kuwa dodoma nyumba ya kupanga sasa si chini ya 350,000 kwa mwezi, nadhani kodi ya mwaka ya millioni 4, katoto kataweza kusomeshwa na kodi ya nyumba tofauti na kama nikinunua gari ambalo litakuwa linavyonza tu mfuko wangu.

shikamoo ndyoko kumbe we ni mbabu hivyo wallah sikutegemea
 
Last edited by a moderator:
Teh teh teh! Jirani kwanini hununui gari? Nimecheka sana. Pole mkuu!
 
Back
Top Bottom