Hivi, jirani kwanini hununui gari?

Kwa sasa najenga, hivyo nimeona ni vyema nijenge kwanza wakati huu ambao bado nakaa nyumba za bure za ofisi, then ikiisha niipangishe, then hela itakayotokana na kodi ya pango nichanganye na nyingine ndo ninunue gari. Unajua nini nisingependa mwanangu atakapo-join university mwakani basi hiyo kodi ya nyumba ndiyo itumike kumlipia tuition fees maana nataka asome kozi yenye future na sio ile atakayochaguliwa na TCU. Sipendi asome kwa mkopo wa HESLB.

Kwa kuwa dodoma nyumba ya kupanga sasa si chini ya 350,000 kwa mwezi, nadhani kodi ya mwaka ya millioni 4, katoto kataweza kusomeshwa na kodi ya nyumba tofauti na kama nikinunua gari ambalo litakuwa linavyonza tu mfuko wangu.

kumbe uko dodoma, huko mbona usafiri sio shida?
panda daladala lifti iwe mara moja ukiwa na shida haswaaaa
lakini kama kila siku lifti hata jirani inamchosha, kuna kipini mtu anaamka na kisirani anahitaji kuwa mwenyewe, au ana mawazo yake au anahitaji privacy, so ukiwa wangojea lifti daily unamkwaza kimtindo.....

panda daladala mkuu
 
jamani sikuwa napanda kila siku. In fact kwa mezi huenda nikawa napanda mara tatu au mbili. Mi nadhani kero yake ni kuona napanda daladala. huenda alikuwa anajiuliza sana why napanda daladala badala ya kununua gari. tangu ahamie hapa hajazidi miezi 4.
 
Bora kakuambia ukweli kwa sababu angekunyima lift yangekuwa maneno. Labda mnambana sana na lift hadi anakosa privacy kwenye gari lake..mhh lift asubh na labda wakati wa kurudi unataka lift tena. mimi kama sina gari napenda kutumia public transport
 
kina dada wengi wameharibiwa sehemu zao za siri za nyuma kwa mawazo finyu kama haya. Kila binadamu ana vipaumbele vyake na ana majukumu yake, nyinyi ndio mnamsamini mtu aliepanga vyumba viwili sinza na ana gari la millioni 6, lakini unamdharau aliejenga nyumba ya millioni 80 mbagala na hana gari. Think big.
kaka mimi nimetania tu ,ulivonishupalia? Mimi sio aina iyo ya wanawake unaowajua mkuu.kwanza mimi ukinihonga vitz sipokei mkuu ile gari kitukuu cha gari?
 
Kwa sasa najenga, hivyo nimeona ni vyema nijenge kwanza wakati huu ambao bado nakaa nyumba za bure za ofisi, then ikiisha niipangishe, then hela itakayotokana na kodi ya pango nichanganye na nyingine ndo ninunue gari. Unajua nini nisingependa mwanangu atakapo-join university mwakani basi hiyo kodi ya nyumba ndiyo itumike kumlipia tuition fees maana nataka asome kozi yenye future na sio ile atakayochaguliwa na TCU. Sipendi asome kwa mkopo wa HESLB.

Kwa kuwa dodoma nyumba ya kupanga sasa si chini ya 350,000 kwa mwezi, nadhani kodi ya mwaka ya millioni 4, katoto kataweza kusomeshwa na kodi ya nyumba tofauti na kama nikinunua gari ambalo litakuwa linavyonza tu mfuko wangu.

Hongera kwa kuanza kujenga kwa sasa, hilo ndo muhimu mkuu..Gari utakuwa nalo tu isikutie presha..ila kiukweli huyo jirani hilo swali alilokuuliza ni tata sana ukizingatia yeye ndiye mtoa lifti..inabidi uanze kubanda basi kuanzia kesho, hata taxi mara kadhaa ukiwa na emergency au umechelewa job maana dodoma kamji kadogo ndyoko na siyo ghali vilee.
Haya karibu lunch tupo maeneo ya rose garden hapa dodoma..jioni mara nyingi lazima nipitie chako ni chako kwa kukuz!!
 
kaka mimi nimetania tu ,ulivonishupalia? Mimi sio aina iyo ya wanawake unaowajua mkuu.kwanza mimi ukinihonga vitz sipokei mkuu ile gari kitukuu cha gari?
Tatizo niko serious muda mwingi, mpaka unitekenye kidogo kama hivi ndio nakumbuka niko na warembo wanaohitaji kauli laini. Karibu basi lunch Hunters club Kino, ni mwendo wa nyama choma ya foil na ugali na maji makubwa ya Kilimanjaro.
 
Ndyoko, ulifanya vizuri kushuka. Na usirudie kuomba omba lift kwenye vigari vya watu. Ridhika na hali yako, panda dala dala hadi hapo mambo yako yatakaporuhusu ununue kibajaji chako!

Ukweli ni kwamba, wenye magari wengi huona kero kuombwa ombwa lift. Wengine wanaingia kwenye gari na matope na kuchafua, wanashika viti na mikono yenye mafuta, ili mradi ni kero. Hawajui kuna matunzo ya usafi wa gari.

Utakuta mtu anajisifia kuwahi lift eti amesave nauli wakati mwenye gari anawaza pesa za mafuta!
 
tatizo niko serious muda mwingi, mpaka unitekenye kidogo kama hivi ndio nakumbuka niko na warembo wanaohitaji kauli laini. Karibu basi lunch hunters club kino, ni mwendo wa nyama choma ya foil na ugali na maji makubwa ya kilimanjaro.
mi mi sili ugali wala red meat mkuu naona iyo meal imekaa kushoto sana na mimi thax anyway enjoy u a lunch yoooooooooo
 
Ndyoko, ulifanya vizuri kushuka. Na usirudie kuomba omba lift kwenye vigari vya watu. Ridhika na hali yako, panda dala dala hadi hapo mambo yako yatakaporuhusu ununue kibajaji chako!

Ukweli ni kwamba, wenye magari wengi huona kero kuombwa ombwa lift. Wengine wanaingia kwenye gari na matope na kuchafua, wanashika viti na mikono yenye mafuta, ili mradi ni kero. Hawajui kuna matunzo ya usafi wa gari.

Utakuta mtu anajisifia kuwahi lift eti amesave nauli wakati mwenye gari anawaza pesa za mafuta!
Hapa umenikumbusha kitu, kuna bosi wangu mmoja ukipanda gari lake ole wako ubamize mlango utanuniwa siku mbili.
 
mi mi sili ugali wala red meat mkuu naona iyo meal imekaa kushoto sana na mimi thax anyway enjoy u a lunch yoooooooooo
Mhh mhhh mhhh!! Wewe utakuwa ni vigiteriani, anyway kesho nitakualika Masaki Didi's Pub kwa ajili ya lunch ya mishikaki ya samaki na chips. sea food is good for u?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom