Very true.
TAbia ya mtu hapa jukwaani na uhalisia wake viweza kuwa mbingu na dunia. Kwenye comments nyingi, you can read between the lines kuwa ni utani au hamna uhalisia. Nina uhakika kuna mabinti/wanawake humu unawewza kudhani ni mafyatu lakini najua kwenye hali halisi sivyo walivyo. Hiyo pia ni kweli kwa sisi wanaume. Mtu anaweza kujenga picha ya gentleman kumbe ni kibaka tu.
Kila mwanaume ana mapungufu yake,atawaacha wangapi?mwisho wa siku ataachika kwa kudai mwanaume anapenda kugegeda kila muda na kila siku
wanawake wa jf tunatoka sayari ya mars usijali hautakutana nao duniani ... we tuache tusanuke
wapo mars mkuuuJe hawa tunaowasiliana nao kwa PM na tunaonana na kupendana wakati wana familia,labda wewe ndo uko Mars
wapo mars mkuuu
mimi uchawi wa mzunguWanatumia usafiri gani?mfano muda huu namuomba mmojawapo tuonane Mwenge ndani ya dakika chache tu,anakuja kutafuta riziki isiyokuwa na jasho
Hakuna mke hapa JF,hapa utapata aliyezalishwa,aliyepewa talaka au aliyetelekezwa pia umri zaidi ya 30yrs,labda kama hata mwanaume unafanana na matukio haya,Jf ni used spares sio wife materials
mimi uchawi wa mzungu
Wengi wenu hamtaki kukosolewa...(kitabia)..mkikokosolewa tu mnajib vijibu vya ajab ajab sijui ni kwa nini et...
Hopeless idiot!
Don't insult people just describe them!
Humu hata hamna kuna husband material tu!
Hahahaaaaaaa!! Yaani huyu ex wangu sijui siku hizi ana stress gani!! We angalia tu aina za thread anazoanzisha kokote kule utagundua tu there is something wrong, amechakaaa hatari, we Viol kuwajibu tutawajibu tu, aina yenyewe ya wanaume ndio wewe alafu unategemea majibu ya aina gani?? Unapewa majibu kulingana na akili yako, hata mtoto hufundishwa kulingana na uwezo wake wa akili, cute b uko wapi jamani? Hebu njoo umfanyie dogo councelling.
If you know so. . . Kila mwanamke ana mapungufu yake pia. . . . wataachwa wangapi kwa mapungufu??!!
Hayo mengine waachie wao wagegedwaji as you and I have no experience. . . .do you????
Hivi mwanaume mwenye akili timamu unatafuta mke jf.labda uwe domo zege
Never say never son. . . . . .some phenomena are real complicatedSomehow your right,but no childrens before marriage,failure to live with several kinds of mens it means always your going to prove failure,yanakuhusu
Hayuko vizuri. Tukiwa darasa la sita tulifundishwa maeneo ambayo wachumba wanapatikana na ambayo sio mazuri kutafutia. JF haimo katika maeneo mazuri ya kupata wachumba. Na hata ikitokea basi ilipangwa kabisa na Mungu . Mbona wanaume wanao jibu hovyo pia wapo humu?.tumia akili wewe..Labda kama umesome english medium ila mbuyuni mwembeni kitanzini ..primary school na zinazofanana na hizo hufundisha hayo.
Hahahaaa atakuwa anataka mapenz ya tamthilia.
Kwani JF si "meeting point" tu kama ilivyo popote au??!!!
Unaweza anzia hapa na ukafika safari yako bila shida na unaweza mkuta kanisani au msikitini kumbe ndio hiyo siku alienda kutubu tu ukajikaanga fasta. . . .
Hivi mtu akiwa na watoto anakuwa sio wife material??!!
Mtu akiachika anakuwa sio wife material??!?
Mlipokutana Buguruni mliongea nini badala ya kufahamiana kwa mambo ya msingi??!!
Ulichagua fungu naye akakupa nyongeza mteja wake. . . . .
Kama Mungu hupanga basi hukuwa na haja ya kutaja sehemu na mengineyo. . . . . .