Hivi JF kuna wife material kweli?

Hata km wapo probability ni 0.00001 of event to occur
 
In every general rule there is an exceptional.
Sio busara sana ku generalize hili tatizo!
kimsingi JF imebeba watu wa aina mbali mbali kuna wazinzi, walevi,madoct,walim, wachungaj,waheshmiw, wanafunzi nk! ni hivyo hivyo na wanawake tuliomo humu tunavyotofautiana! Sijui bwana kaka umetumia kigezo gani kusema hawapo Je ulikutana na wengi, majibu & comment pekee havitoshi kucome up na heading hiyo!
But all in all kuna dizine zote humu! kama ukienda porini usivyoweza kuona swala peke yake!
 

watu wote humu hawana tofauti na wale wa kwenye physical world - tabia tofauti tofauti, mbaya na nzuri. mbaya zaidi hatutumii physical ID zaidi ya virtual ID. Pia virtual ID (anonymity) inamfanya mtu atamke mambo ambayo hawezi kuyatamka kwenye physical world.

Nenda uswazi utakuta wanawake wameolewa na wana lugha chafu mpaka huwezi kuamini.
 
mkuu majanga gani yamekusibu? maanake hizi thread zako za hivi karibuni kama za kutoa ya moyoni vile...

inaelekea kaingilia mlango wa kutokea sehemu! wenzie wanatoka yeye kaingia.
 
Hukupaswa kufungua huu Uzi mkuu maana kwa % furani umepunguza imani kwa uliemtega.
Pole


Pole ya nini tena!!!!!

Kutega tena!!!!!!!

Mwenyewe anajitambua,hakurupuki na laiti ungejua ungekaa kimya tu
 

Mweeeee!!!!! Sikuzote Nilikuwa najua wewe ni me kumbe ni.........!!!!!!!
 
wish to see the crazy side of you..havent seen it yet
 
Wanawake wenye heshima zao wapo...Lakin kwa hivi vijanamke vinavyojifanya vijuaji,vitukanaji,vinahasira za kijingajinga,havitaki kukosolewa nina uhakika ni ndivyo walivyo katika uhalisia wao wa maisha.

Cc........
orodha!
 

Hahahaaa
 
Ha ha ha haa wako wataalamu watakuja kutoa shule ya "utegaji wa nyavu". . . .

haa brothers mshaanza ivooo! we are not hunting bana! kila kibaka ana police wake nje ya jukwaa! hawa wanaokamatana humu zingine zina work! zingine ndio majanga type mnaishia kulalamika kama namna hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…