OLESAIDIMU
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 19,139
- 9,575
hawa wanao complain yamewakuta na ushamba wao ndio umewaponza.
ዘow do u start proposing someone u don't know in the name of marriage?.
yee nyanya we kitunguu mmekutana kwenye sufuria! Hao tu mnaotongozana live mnashindwana hamuwezani sembuse wa kukutana huku?
Never say never son. . . . . .some phenomena are real complicated
Viol ameblok pm hahhahaaaMmemchomolea huko pm ndio hasira zake anakuja kumalizia humu!!!
Ndio kulikuwa hamna haja ya kutaja.
Ahsante.
Somehow your right,but no childrens before marriage,failure to live with several kinds of mens it means always your going to prove failure,yanakuhusu
Waliotangulia wameshindwa utaweza,labda kumzalisha mtoto mwingine,pia ujue mabinti huzalishwa kwa kiherehere chao na kutojitambua,,tena ujue hawezi kuwaacha waliozalisha
Tena vibaka wako wengi sana
Nothing>how complicated,this depend on mental ability of the one who believe like you
I think your the one,,stand up>start new life style,utakuwa ulineng'eneka mtumiaji akatumia vibaya na kukuachia majuto ni mjukuu
okey,....May be but not for sure
Mbona mnaiweka kama mwanamke tuu ndio anakuwa na tatizo linalopelekea kuachika? mnasahau mahusiano ni pande mbili? wee unaweza ukanishinda tabia mi nikaona isiwe tabu tuachane! Be fair with that kuna wanaume wengi VIAZI tunawaona hawana hata chembe ya sifa ya kuwa mume hawawezi hata kujiongoza wao wenyewe! Hizo familia zao zinaongozwa kwa neema ya Mungu tu!
nimependa hio avatar! nataka niku join kuendesha baiskeli.
you are....
children...
men...
Mmmmh!! Hao unaopoteza nguvu zako kuwaeleza hayo ni akina nani labda!! Hawa hawa au wale wa mars!! We umesahau kuwa wanaume wote humu jf ni malaika, tena hawana shida yoyote!! Teh teh teh mbafu sangu.
duuh....! huku ndio kwenye 'wife material'???? wanafanyabiashara gani?
Hivi JF kuna husband material? Teh teh teh
hivi ni lini wanaume mtaacha kuwaandama wanawake? hamkai hata ck 1 mjadili namna yakuishi na wanawake kwa upendo!! nikulalamika tuuuuuu, yawezekana maswali mnayouliza majibu mabaya ndio majibu yake sahihi. hivyo hakuna namna lazima yajibiwe hivyo.
kila mara kulalamikia upande mmoja ni dalili mbaya sana sipendagi aisee hamna jinsia inayofanya mabaya tuuu hamna mazur impossible lets talk this authentically wakuuu