Hivi Jeshi la Tanzania lina Special Forces?

Hivi Jeshi la Tanzania lina Special Forces?

CCM mkizeeka mnakua wachawi sasa kosa ni lipi hapo au amekuomba psa ya kula
 
Kuna jamaa mmoja amepitia mafunzo ya kukaanga kokoto kwa mkono wake kama mwiko, kukimbia kivuli chake na kukiacha umbali wa mita 1, kukata umeme nchi nzima kwa kupuliza 'puuuuu', ngoja nimuulize yuko kikosi gani kama si special force
Hahaaa mkuu kila nikiangalia comment nakufa mbavu, duh ubarikiwe.
 
Kwani hujui JWTZ Special Force to DRC ni miongoni mwa Majeshi 20 bora Duniani.
sio kweli, DRC walikwenda wanajeshi wa kawaida , neno special forces lisikuchanganye, UN special forces for intervention
 
Wakuu ningependa kujua kama Jeshi letu lina special forces kama SAS, Navy seal, Royal Marine, Delta Force,
Zaid ya jeshi hilo. Jeshi letu Jwtz ni heshi hatari kwa ukanda wote wa afrika. Inshort tuna jeshi la aina yake hao malawi umeona this tm hatuwajibu do ye know why? Bas subiri kama ujasikia malawi nisehem ya Tz
 
Kikosi cha makomandoo ni kikosi kama vimosi vya ardhini, anga, maji nk isipokuwa wao wamepewa mafunzo ya ziada kukabiliana na mazingira tatanishi... Ikifika kwenye special force watachaguliwa makomandoo wachache wa fani mbalimbali mf snippers, daktari, mtaalam wa milipuko na inawezekana kumchukua hata raia endapo kuna utaalamu wa ziada unahitajika ambao wameshindwa kumpata mtu ndani ya jeshi hapo kinaundwa kikosi maalum na wanapewa mafunzo ya ziada yanayoendana na mazingira wanayoenda kukabiliana nayo... Inasemekana kabla ya kwenda kumuua osama wale jamaa walijengewa jengo linalofanana na makazi ya osama na wakaanza kufanyia mazoezi kwa miezi mitatu. Tanzania tuna makomandoo na kila nchi ina makomandoo ila katika hao makomandoo ndio vinaundwa vikosi maalum. Naendelea kutolea mf Marekani wanapokuwa na mission tata huwa wanatumia Navy Seals ila wanapokuwana mission zisizo hitaji kusubiri wala kupoteza muda wanatumia Delta Force.
Haipo hyo. Commando anavijua vyote hivyo ulivyo vitaja
 
Special Forces ni mbwembwe za wazungu! KUKU NI KUKU TU! JOGOO JINA.
 
Mambo ya ulinzi sio ya kutaka kuyajua kiholela mkuu, hatujuani hapa mtu anauliza mambo ya ulinzi na usalama wa majeshi anataka kujua ili iweje labda.
Kuna maswali ukiuliza utajibiwa mengine huwezi kujibiwa Never

Acha akili za kizamani,tafuta habari za Mossad,cia,mi6 utazipata zote. Uku kwetu bado wanaishi kizamani.
 
Acha akili za kizamani,tafuta habari za Mossad,cia,mi6 utazipata zote. Uku kwetu bado wanaishi kizamani.
Wabongo bhana, sawa reference zako ni umezitaja, siku moja nenda kaulize pale Lugalo nadhani kwa nia njema watakupa data unazotaka.
Mnapenda kuchimbachimba kila kitu, kisa mzungu kafanya, seriously Kenya wanaume wameanza kuolewa kwa kuangalia mifano ya wazungu
 
Wabongo bhana, sawa reference zako ni umezitaja, siku moja nenda kaulize pale Lugalo nadhani kwa nia njema watakupa data unazotaka.
Mnapenda kuchimbachimba kila kitu, kisa mzungu kafanya, seriously Kenya wanaume wameanza kuolewa kwa kuangalia mifano ya wazungu

Ficha upumbavu wako.
 
sio kweli, DRC walikwenda wanajeshi wa kawaida , neno special forces lisikuchanganye, UN special forces for intervention
marehemu Ahmed mlima alikuwa mgambo?
Tanzania ina vikosi tofautitofauti vilivyoko Congo DRC mojawapo ni cha komando, hawa ndio waliotambuliwa kuwa kikosi maalum bora huko Congo.

Pia jeshi la Tanzania lipo Congo chini ya FIB ( forces intervention brigade)
In short vikosi vya jwtz vilivyopo Congo ni maalum kwa hiyo mission hence special force, many of the personnel are commandos!!
 
Back
Top Bottom