Hivi Jeshi la Tanzania lina Special Forces?

Hivi Jeshi la Tanzania lina Special Forces?

Tuweke unazi pembeni, acha uhalisia uongee. Mkuu, vita vya sasa ni teknolojia na vifaa na Pesa, Period!

Labda tupambane na Afrika Mashariki na Kati ila sio kusema Bara zima. Unazijua nchi kama Algeria, S.Afrika, Misri n.k jinsi walivyopiga hatua ktk uboreshaji wa majeshi yao?
Mkuu Ni kweli kabisa....jeshi km misri lenye heshma zake,jeshi km Algeria lenye fighter jets za kisasa km f-16 Na wako Na mpango wa kunua s-400 toka urusi halafu unaaminishwa eti tumewazidi...
 
Ni marufuku kujua siri za jeshi. Ukiwa mwanajeshi utajua siri zake.
 
Mkuu Ni kweli kabisa....jeshi km misri lenye heshma zake,jeshi km Algeria lenye fighter jets za kisasa km f-16 Na wako Na mpango wa kunua s-400 toka urusi halafu unaaminishwa eti tumewazidi...
Tatizo watu wanataka watufunge akili katika box, Uganda wana SU-30. Yaani kwenye mambo ya anga naona hatupo vyema kabisa.

Nchi kama Misri ina nyambizi kama 6. Huko South Afrika kuna vifaa vya maana. Kwa kweli tunahitaji kuwekeza zaidi ktk jeshi letu.

Hii mambo ya kusema hakuna kama JWTZ Afrika nzima naona ni uwenda wazimu.
 
Wale wanaoshadadia kuwa haya mambo ni siri naona wapo nyuma sana ktk masuala ya kijeshi.

Nchi kama Tanzania ambayo inanununua vifaa vyake vya kijeshi unataka kusema kuna siri gani hapo!? Pengine hamtambui kuwa hizi silaha zinatengeneza makampuni binafsi ya silaha na kuziuza kwa nchi mbalimbali, hata Marekani ananunua Silaha ktk haya makampuni nchini kwake.

Kama Israel, Quba, Iran, Uingereza n.k vitengo vyao vyote vinajulikana na majukumu yao ila tu maaskari ndo kificho kwa kuwajua kiundani. Mnataka mseme Tanzania ndio mpo juu kuliko wao!?

South Afrika anaweza akaweka siri zake zote za jeshi hadharani kwetu na tusiwe na ubavu wa kusimama nae hata kwa miaka 2 ktk uwanja wa vita.
 
nmeangalia kwenye google hapa
Nikaandika 10 dangerous army special forcesKwetu wanaiita TANZANIA SPECIAL FORCE INASHIKA NAFASI YA 8 YA KWANZA NI DANISH SPECIAL FORCE
 
Hakuna Tanzania ila Burundi,Rwanda,Uganda na Kenya ndiyo zipo,hebu kawaulize unachotaka! Hapa huwezi jibiwa maana hatunaga mambo hapa Watanzania! Kwani waliokutuma wamesema hapa utapata habari kama wapo? Lakini ushauri mwingine kaulize pale makao makuu ya jeshi upanga aua hata pale lugalo nadhani wale ma MP watakusaidia jibu lako!
hata ofisi ya ccm atapata taarifa viongozi karibu 30% soldiers
Si wale wanaovunja matofali kwa kichwa!!
 
tanzania kuna marine special force wanavaaga vikofia vya dark blue, hata comando pia ni special force
 
Nyie munaosema cjui Tanzania ni ya 8 kwa kuwa ktk list ya 10dangerous special forces in the world hivi mko serious kweli??

Ingia hata Google utazipata 11 dangerous special forces in the world kama ifuatavyo:

11_Polish Grom (Poland)

10_Alpha_Group,(Russia)

9_GIS,,(ITALY)

8_NAVY SEAL,(USA)

7_British Special Air service (SAS)

6_Joint Force Task2( JTF2) {Canada}

5_Sayeret matkal (Israel)

4_Special Forces (USA)

3_National Gendarmerie Intervention Group{GIGN}(FRANCE)

2_Special Services Group {SSG}(PAKISTAN)

1__MARCOS {Marine commandos} (INDIA)

[HASHTAG]#Sasa[/HASHTAG] wewe unaiweka Tanzania kwenye list ya vikosi hatari na vya kibabe leta ushahidi hapa#
 
Nyie munaosema cjui Tanzania ni ya 8 kwa kuwa ktk list ya 10dangerous special forces in the world hivi mko serious kweli??

Ingia hata Google utazipata 11 dangerous special forces in the world kama ifuatavyo:

11_Polish Grom (Poland)

10_Alpha_Group,(Russia)

9_GIS,,(ITALY)

8_NAVY SEAL,(USA)

7_British Special Air service (SAS)

6_Joint Force Task2( JTF2) {Canada}

5_Sayeret matkal (Israel)

4_Special Forces (USA)

3_National Gendarmerie Intervention Group{GIGN}(FRANCE)

2_Special Services Group {SSG}(PAKISTAN)

1__MARCOS {Marine commandos} (INDIA)

[HASHTAG]#Sasa[/HASHTAG] wewe unaiweka Tanzania kwenye list ya vikosi hatari na vya kibabe leta ushahidi hapa#
Achana na 1, 2 na 5. Hatari sana hivi vikosi.
 
What if serikali ya Uturuki nayo imeamua kutoa mkopo wa mradi huo pengine kwa riba nafuu kuliko China?

Tukumbatie wachina tu hata kama kampuni yao haina vigezo kisa marafiki?

Nadhani Zitto angetafuta taarifa sahihi kwanza akajiridhisha badala ya"tumesikia".

Huyu jamaa amekuwa na tabia ya kuokota okota udaku halafu akiombwa evidences anakimbilia tena kwenye issue nyingine.
Huyo naye ameshagota katika siasa anajitutumua kuinuka lakini hawezi tena.
Hana fikra mpya za kuishawishi jamii zaidi ya ukosoaji usioisha.
Zitto ni mwenyekiti wa chama cha siasa tulitarajia kumuona mwenyekiti ana hangaika kukijenga chama chake ili watu wazielewe sera za chama chake kwa kwenda waliko watu wengi vijijini.
Hivi ni Watanzania wangapi wanaosoma magazeti au mitandao ya kijamii ili kupata ujumbe wa Zitto?

Special Force ya Kuvunja Tofali kwa ngumi ipo
 
Special forces ni vikosi maalum kwaajili ya kazi maalum. Kwa mfano; jeshi la marekani lina vikosi maalumu kama navy seals na delta force hivi ni vikosi vinavyotumika kwenye operation maalum ambazo huwezi kutumia jeshi kama operation ile iliyomuua Osama (navy seals walitumika) Urusi pia wana kikosi maalum, uingereza, Izrael(hawa jamaa walikitumia pia Uganda kuokoa Waizrael waliozuiliwa na Idd Amin) nk, Muuliza swali ameuliza kama tuna vikosi kama hivyo JWTZ? Kuna mtu hapo amesema ndio mfano jeshi la tanzania DRC, iliyopo DRC sio kikosi maalum bali ni kikosi cha kawaida cha jeshi. Special forces huwa inaundwa na team ya makomandoo wakiwa kwenye kikosi cha wapiganaji kati ya wa5 hadi 7, na wanaweza kuzidi hadi 15
mkuu na mimi umenifungua macho🙄🙄
 
Wewe mmalawi umeanza kuogopa subiri tuje huko utajua kama nk special forces au force
 
Back
Top Bottom