Hivi Jeshi la Tanzania lina Special Forces?

Troll JF

JF-Expert Member
Feb 6, 2015
7,804
12,233
Wakuu ningependa kujua kama Jeshi letu lina special forces kama SAS, Navy seal, Royal Marine, Delta Force,

Moja ya Special Air Service (SAS)-Britain Operation Certain Death

Israel MOSSAD hawa noma sana operation Orchad Bombing the Nuclear Reactor in Iraq and Syria.

Operation Opera (Iraq)
 
Kwani maana ya Special Force ni nini? Tuambie kwanza halafu tutakujibu.
Mkuu zinakua tofauti hata kwenye Ku recruite new members kama SAS ya Uingereza recruitment huwa ya kujitolea ikiwa na Kiwango cha kufeli ni 90%
 
Hakuna Tanzania ila Burundi,Rwanda,Uganda na Kenya ndiyo zipo,hebu kawaulize unachotaka! Hapa huwezi jibiwa maana hatunaga mambo hapa Watanzania! Kwani waliokutuma wamesema hapa utapata habari kama wapo? Lakini ushauri mwingine kaulize pale makao makuu ya jeshi upanga aua hata pale lugalo nadhani wale ma MP watakusaidia jibu lako!
 
Kwani maana ya Special Force ni nini? Tuambie kwanza halafu tutakujibu.
Special forces ni vikosi maalum kwaajili ya kazi maalum. Kwa mfano; jeshi la marekani lina vikosi maalumu kama navy seals na delta force hivi ni vikosi vinavyotumika kwenye operation maalum ambazo huwezi kutumia jeshi kama operation ile iliyomuua Osama (navy seals walitumika) Urusi pia wana kikosi maalum, uingereza, Izrael(hawa jamaa walikitumia pia Uganda kuokoa Waizrael waliozuiliwa na Idd Amin) nk, Muuliza swali ameuliza kama tuna vikosi kama hivyo JWTZ? Kuna mtu hapo amesema ndio mfano jeshi la tanzania DRC, iliyopo DRC sio kikosi maalum bali ni kikosi cha kawaida cha jeshi. Special forces huwa inaundwa na team ya makomandoo wakiwa kwenye kikosi cha wapiganaji kati ya wa5 hadi 7, na wanaweza kuzidi hadi 15
 
Asante kwa jibu zuri mkuu
 
Hizo ulizo taja ni majina tu, yanayo tolewa na nchi husika kuita kundi lao , Tanz ipo mfano komando ni special force pia ,
Sasa mfano huyo jamaa ulimueka kwenye aviator aliyekufa Congo je walienda wote makomando Congo?
 
Back
Top Bottom