Hivi jamani Mzee Nesamburo yupo wap jamani?

sasa kama ana hela za kutosha kwa nn asipumzike nyumbani tu? anafuata nn bungeni wakat hachangii wala haungi mkono wala kupinga hoja ndani ya mjengo? tuache ushabiki jaman... tuangalie uhalisia ulivyo

We umeshawahi kuisikia sauti ya Mo dewji mbunge wa Singida mjini tangu bunge lianzihwe?
wapo wengi wa chama la magmba miaka mitano inaihsa wankula pesa za bure tuu.
 
Tangu kuanza kwa vikao vya bunge cjawah kumuona mzee ndesamburo akichangia hoja yoyote ndani ya bunge. c ile ya posho wala ile ya kususia vikao vya bunge.... wala si ile ya budget ya nchi.. msimamo wake kuhusu suala la posho za wabunge ukoje? je anapenda ziwepo au zisiwepo? Mzee kawa kimya ghafla ... tuambizane wadau....
heb tuje kwa rostam aziz kachangia lin toka bunge lianze? katika wa2 ambao hawachangii hata kwa maandishi huyu yumo. bunge la tisa hakuchangia hata mara 1
 
Tangu kuanza kwa vikao vya bunge cjawah kumuona mzee ndesamburo akichangia hoja yoyote ndani ya bunge. c ile ya posho wala ile ya kususia vikao vya bunge.... wala si ile ya budget ya nchi.. msimamo wake kuhusu suala la posho za wabunge ukoje? je anapenda ziwepo au zisiwepo? Mzee kawa kimya ghafla ... tuambizane wadau....

Mzee anaponda raha tu siku hizi, juzi nilimuona dodoma na mtoto mtogo wa UDOM wale waliofukuzwa akishikwa shikwa kifua akipandishwa midadi then aende akapone
 
Huwa napata wasiwasi na akili za watu hawa na malengo yao na nchi hii!
 
Mzee anaponda raha tu siku hizi, juzi nilimuona dodoma na mtoto mtogo wa UDOM wale waliofukuzwa akishikwa shikwa kifua akipandishwa midadi then aende akapone
sikushangai una tabia za fitna majungu na umbea kama mwenyekiti wako wa chama cha magamba!pia uwe unaona aibu mara mojamoja unaposema uongo
 
We umeshawahi kuisikia sauti ya Mo dewji mbunge wa Singida mjini tangu bunge lianzihwe?
wapo wengi wa chama la magmba miaka mitano inaihsa wankula pesa za bure tuu.

nimemuulizia ndesamburo kwa sababu hapo mwanzo alikuwa mwiba sana mjengoni.... au sumu zake zimekwisha? hayo magamba yalikuwa mabubu tangu yalipoingia bungeni kwa mara ya kwanza........
 
Mzee anaponda raha tu siku hizi, juzi nilimuona dodoma na mtoto mtogo wa UDOM wale waliofukuzwa akishikwa shikwa kifua akipandishwa midadi then aende akapone

we bado hujaacha unafiki wako? yaani tangu mwenyekit wenu aseme anawavua gamba bas ndo ukaiga unafiki wake?
 
Nimeipenda avatar yako hivi mbona wanaomfuata huyo kwenye avatar hawafuati na kuvaa mavazi yake aliyokuwa anavaa yeye na wanafunzi wake?

Heee ni nani huyo? Mtumwa Moh****d?
 
Back
Top Bottom