Hivi itakuwaje siku Makonda akijunga na CHADEMA?

Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita chadema waliwahi kumtangaza kuwa lowasa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na chadema

Je unadhani chadema watazungumzia nini kuhusu makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa
Ujue hao jamaa ni makasuku ya kufa ndege, watabadilisha mluzi kama unabisha tuweke dau then tumshawishi RC ahamie lazima utaona maajabu ya pili ya upinzani.
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita CHADEMA waliwahi kumtangaza kuwa Lowassa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea Makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na CHADEMA.

Je unadhani CHADEMA watazungumzia nini kuhusu Makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa Lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa?
Lowassa ana vyeti vya kughushi? Tuhuma dhidi ya Lowassa zipo mitandaoni lakini DCI au DPP hawazijui
 
Mimi nitachana kadi yangu ya CHADEMA na kuamia nchi jirani ya Somalia.
hala hala huu uzi usije ukafukunyuliwa miaka hiyo! si unakumbuka thread za EDO na comments za watu waliokuwa wanamponda na sasa wamemkumbatia!
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita CHADEMA waliwahi kumtangaza kuwa Lowassa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea Makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na CHADEMA.

Je unadhani CHADEMA watazungumzia nini kuhusu Makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa Lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa?

Anarudia Mtihani wa Form four kwa jina la Daudi Bashite kisha anapa Misonge tupu.
Chadema inashinda uchaguzi anachaguliwa kuw amkuu wa mkoa wa Dar es salaam.
 
Watakwambia ambaye ana ushaidi kwamba vyeti vyake ni fake aende mahakamani,kama tunavyoambiwa kwa sasa kwamba mwenye ushahidi kwamba Lowasa ni mailing aende mahakamani,bila kukumbuka wao ndio waliotuaminisha na kuanzisha habari ya kwamba Lowasa ni fisadi na clip zipo, ni bahati mbaya tu hapa Tanzania wanachama na wapenzi wa upinzani wengi ni watu wa kulishwa maneno,ingekuwa ni nchi zilizoendelea sisi wanachama tungewaambia viongozi wetu wajiuzuru kwa kuyarudia matapishi
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita CHADEMA waliwahi kumtangaza kuwa Lowassa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea Makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na CHADEMA.

Je unadhani CHADEMA watazungumzia nini kuhusu Makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa Lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa?
Kama alifukuzwa Zitto Kabwe genius na vyeti vyake... Sidhani kama Mbowe anaweza kuside na Coke Zero
 
Aje na vyeti vyake vya bushite tuu hayo mengine ya kujipendekeza ama kujipachika elimu za watu huku hayapo ataozea benchi
 
7efd5dace5306e9e1fc3ad9555530216.jpg
db388fa83df960d50e53c3766787e3b2.jpg
Hii picha ya chini kituko. Ni hivi chadema huyu hakanyagi maisha yake. Kwa ukilaza wake hata akitaka kugombea uenyekiti wa mtaa kalomije kwa tiketi ya chadema tunagoma.
 
Aitwe kila aina ya majina lakini Makonda atabaki kuwa kwenye kumbukumbu za nchi.Amefanya kitu ambacho kilikuwa kimeshindikana nchi nzima.Sasa hivi tunasikia kila kona ya nchi wadau wa unga wanasakwa.Hadi Kamishna wa dawa hizi aliteuliwa with sense of urgency.
Wakishahukumiwa usisahau kunitaarifu!
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita CHADEMA waliwahi kumtangaza kuwa Lowassa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea Makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na CHADEMA.

Je unadhani CHADEMA watazungumzia nini kuhusu Makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa Lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa?

Siku zote kwenye siasa hakuna kitu cha kuzingatia zaidi kama kuwa na akiba ya maneno, ukweli ni kwamba siasa za Afrika huwa zimegubikwa na siasa za chuki na kuvunjiana heshima, CHADEMA kwa jinsi walivyomchafua Lowasa kipindi kile ni mpaka kesho itaendelea kuwagharimu sana!
 
Back
Top Bottom