Bata batani
JF-Expert Member
- Nov 11, 2011
- 3,215
- 3,683
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .
Hapa nina maana miaka 7 iliyopita CHADEMA waliwahi kumtangaza kuwa Lowassa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.
Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .
Swali langu je leo hii ikitokea Makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na CHADEMA.
Je unadhani CHADEMA watazungumzia nini kuhusu Makonda.
Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa Lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa?