Hivi itakuwaje siku Makonda akijunga na CHADEMA?

Siku uyo akija cdma mimi nakunya kuanzia magogoni had ubungo
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita chadema waliwahi kumtangaza kuwa lowasa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na chadema

Je unadhani chadema watazungumzia nini kuhusu makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa
Wahenga walisema "Tutajadili namna ya Kuvuka Mto tutakapofika Mtoni".
Usiku mwema
 
"Ni kweli nilisema hana vyeti, na waraka ule niliuandika mimi. Sasa basi, je ni kweli hana vyeti? Alipokuja chaddema tukamuhoji, na majibu ameyatoa hadharani na wote mmesikia.

Kwahiyo suala la vyeti si hoja, tumuunge mkono mgombea wetu wa urais bwana mackonda ili tuwaleteeni mabadiliko.

Asanteni sana."

Yakitimia hayo ndio yatakayosemwa.
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita chadema waliwahi kumtangaza kuwa lowasa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na chadema

Je unadhani chadema watazungumzia nini kuhusu makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa

Akijiunga Chadema kwa majina yake halisi(Daud Albert Bashite)kwetu si tatizo,atapokelewa kwa sababu elimu si moja ya sifa zinazomuwezesha mtu kujiunga Chadema.Aje tu na fa fa fa zake atapokekewa na kupewa kadi.
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita chadema waliwahi kumtangaza kuwa lowasa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na

Je unadhani chadema watazungumzia nini kuhusu makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa
Chadema kama chadema chama kilicho makini naamini kitamkataa makonda Lkn hakitomkataa bashite.chadema baba , chadema Ni mama wa watanzania, Na sifa ya mzazi ni kutomfukuza mwanao anapokosea, utamkanya Na kumrudisha ktk mstari. Lakini kwa makonda hatua ya kwanza tutakayochukua pindi atakapokuja chadema ni kumtafutia shule Ili aanze upya kidato cha kwanza. Baada ya hapo tutamfundisha siasa Za kiustaarabu na kuheshimu wakubwa Na kufuata sheria.
 
Mimi nitachana kadi yangu ya CHADEMA na kuamia nchi jirani ya Somalia.

ungechana kwanza kwa lowassa alivyoingia chadema kwa mbwembwe kama una hiyo jeuri...kwa kifupi mbowe kawapiga bonge la limbwata hakuna pakutokea.
 
Daudi Bashite alete vyeti kwanza,hayo mengine yatapata ufumbuzi yatakapotokea!Sasa ni vyeti[HASHTAG]#achamanenoletavyeti[/HASHTAG]
[HASHTAG]#vyetimubashara[/HASHTAG]
 
ajiunge k
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita chadema waliwahi kumtangaza kuwa lowasa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na chadema

Je unadhani chadema watazungumzia nini kuhusu makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa
wa jina la Daudi Bashite , hapo tutamkubali lakini akija na jina la makonda anatimuliwa
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita chadema waliwahi kumtangaza kuwa lowasa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na chadema

Je unadhani chadema watazungumzia nini kuhusu makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa
Atakuwa Mwanachama tu au kuwa mwanachama inahitaji Elimu?
 
Je, mnavijua vyeti vya Mbowe
Mbowe hata kama kapata zero hajafoji jina. Huyu mwenzenu huko uvccm anaitwa Daudi bashite halafu katumia cheti cha Paul makonda huu ni udanganyifu. Lazima aende mahakamani
 
Unajua sakata la vyeti linashupaliwa na watu wengi mno ambao wote hawana cheti cha fom 4 kabisa na darasa la 7 walirudia kwa jina linguine.Mtu ambaye yupo safi juu na alifanikiwa kila stage HANA MUDA MCHAFU.okay akitenguliwa akistaafu what next,itamuongezea nini mtu wa chini wa kawaida zaidi ya Unga kuanza kuzidi mtaani? Muache ushabiki na mahaba yasioitakia mema nchi
 
Mbowe hata kama kapata zero hajafoji jina. Huyu mwenzenu huko uvccm anaitwa Daudi bashite halafu katumia cheti cha Paul makonda huu ni udanganyifu. Lazima aende mahakamani

Mbowe Kafoji period.alipataje kusoma shule ya serikali hali alifeli darasa la 7?
 
Chadema ni chama cha wapuuzi na wasio jitambua wanafiki na wazandiki
Akifanya hivyo
ataitwa Malaika
Asiye ogopa mtu
kamanda mchapa kazi.
Kuwa chadema yakupaswa uwe na udugu na Shetani
 
DAUD BASHITE kakimbia nchi kaenda kwa Kinje bondeni
 
Back
Top Bottom