Hivi itakuwaje siku Makonda akijunga na CHADEMA?

By the way, lowasa huwezi kumlinganisha na mtu kama makonda, lowasa ana historia ya pekee katika taifa jambao ambalo huwezi kumlinganisha na mtu kama makonda ambaye anajulikana kwa watu wachache tu. Naamini chadema ni chama ambacho kinaangalia watu wenye influence kwenye chama na siyo kuleta watu ambao historia ya maisha yao ya kitaaluma hayaeleweki
Exactly mfano mama wema.ni extraordinary kwa kweli.
 
Watasema xheti chake halali walkuwa wanamsingzia wauza unga wa ccm hapo watasema kama angekuwa na cheti feki mbona hawajamshtak? watasema hv kwel toka alpotokea had ukuu wamkoa usalama walomfanyia verting wasjue ukwel wake wa mkuu wa.mkoa anayepewa mkoa uloshka Tanzania?? Watasema sio kwel ....mako n mtu safi na shujaaa......
 
Hivi Makonda anachafuliwa au anaombwa ajisafishe na sakata la kununua vyeti?
 
kwani mwenye dhambi akiamua kumrudia mungu si anaongozwa tu sala ya toba
 
By the way, lowasa huwezi kumlinganisha na mtu kama makonda, lowasa ana historia ya pekee katika taifa jambao ambalo huwezi kumlinganisha na mtu kama makonda ambaye anajulikana kwa watu wachache tu. Naamini chadema ni chama ambacho kinaangalia watu wenye influence kwenye chama na siyo kuleta watu ambao historia ya maisha yao ya kitaaluma hayaeleweki
watu wenye influence kama wema sepetu..
watu wasafi kama lowassa alipokuwa ccm...
chadema ndio imesababisha Tanzania kuongoza kwa unafiki duniani
 
Tuwe wakweli akitaka kwenda Chadema ni mtu mmoja tu ndiye ana Mamlaka ya kumpokea au kumkataa. "Mbowe" yaani akielewana na Mbowe basi kamaliza mchezo. Nyie wengine ni kupiga makofi tu. Na ndicho kilichomshinda Jembe letu la ukweli Dr Slaa.
 
Inakuwaje shetani anapo okoka.... !!!?
 
Ni upuuzi kuwa na mawazo ya et wanaohoji elimu na vyeti ni CHADEMA. Kwa taarifa yako ni watu wa kawaida tu.
 
By the way, lowasa huwezi kumlinganisha na mtu kama makonda, lowasa ana historia ya pekee katika taifa jambao ambalo huwezi kumlinganisha na mtu kama makonda ambaye anajulikana kwa watu wachache tu. Naamini chadema ni chama ambacho kinaangalia watu wenye influence kwenye chama na siyo kuleta watu ambao historia ya maisha yao ya kitaaluma hayaeleweki
Wewe acha hizo, mm leo nmeenda kupanda boda boda huku vjjn kabisa. Habri ni Bashite
 
By the way, lowasa huwezi kumlinganisha na mtu kama makonda, lowasa ana historia ya pekee katika taifa jambao ambalo huwezi kumlinganisha na mtu kama makonda ambaye anajulikana kwa watu wachache tu. Naamini chadema ni chama ambacho kinaangalia watu wenye influence kwenye chama na siyo kuleta watu ambao historia ya maisha yao ya kitaaluma hayaeleweki
Ni kweli kama kina wema sepetu (teja)na mashoga wake anaowafuga..ni watu wenye influence sana katika jamii na chama chetu cha chadema
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita chadema waliwahi kumtangaza kuwa lowasa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na chadema

Je unadhani chadema watazungumzia nini kuhusu makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa

Itajulikana hapo itakapo fika...lakini kwa sasa alete vyeti
 
Itakuwa kioja na kituko kama ulivyoandika hapa
 
Siso titamkalibisha ila TOBA kwanza..labda awe na ushihd
 
Atakua kamanda wa vita ila ataomba msamaha kwa mbowe na makamanda wengine
 
Back
Top Bottom