Hivi itakuwaje siku Makonda akijunga na CHADEMA?

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na chadema
kwani CHADEMA ndo wanamwandama mshikaji?
 
Aitwe kila aina ya majina lakini Makonda atabaki kuwa kwenye kumbukumbu za nchi.Amefanya kitu ambacho kilikuwa kimeshindikana nchi nzima.Sasa hivi tunasikia kila kona ya nchi wadau wa unga wanasakwa.Hadi Kamishna wa dawa hizi aliteuliwa with sense of urgency.
Daudi Bashite
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita chadema waliwahi kumtangaza kuwa lowasa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na chadema

Je unadhani chadema watazungumzia nini kuhusu makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa
Siro anatafuta viroba vyake vimepotea central. Wewe ndo unavyolichukulia?
 
Acha Maneno weka Cheti
f50e8140675bc38b7aba6704db821377.jpg
 
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita chadema waliwahi kumtangaza kuwa lowasa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na chadema

Je unadhani chadema watazungumzia nini kuhusu makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa
Makonda kwa maoni yangu ni kiongozi mzuri kama akirekebisha mapungufu yake.

Ukiangalia Jinsi anavyojiamini akizungumza na namna alivyojitahidi kutafuta majawabu ya changamoto ya matatizo ktk maeneo yake ya utawala anayokabidhiwa.kwa kweli amejitahidi sana ingawa kuna makosa pia amefanya,

Kwa jinsi anavyofanya kazi anazokabidhiwa nashindwa kuelewa alipataje ziro darasani
Yaani ziro hata C au D aliikosa kweli hii haiingii akilini.
 
Aitwe kila aina ya majina lakini Makonda atabaki kuwa kwenye kumbukumbu za nchi.Amefanya kitu ambacho kilikuwa kimeshindikana nchi nzima.Sasa hivi tunasikia kila kona ya nchi wadau wa unga wanasakwa.Hadi Kamishna wa dawa hizi aliteuliwa with sense of urgency.

Hata aliyemteua Paul Makonda anaona kwamba kinachoendelea ni mapambano kati ya mh.Paul Makonda na wadau wa madawa ya kulevya! Na itakuwa aibu kubwa sana kama mh. Paul Makonda atavuliwa wadhifa wake!
 
Rekebisha Kichwa cha habar sema bashite akihamia chadema sio makonda tena
 
Tutampeleka Mahakamani kwanza akakabiliane na kosa lake la kuwasilisha cheti
 
We shall cross the river when we get there.

Do not cut a cloth before a child is born
 
kwani mwenye dhambi akiamua kumrudia mungu si anaongozwa tu sala ya toba
aende kwa gwajima akaongozwe sala ya toba, hakika Mungu atamsamehe dhambi zake za kufoji cheti na kutumia jina la mtu mwingine
 
By the way, lowasa huwezi kumlinganisha na mtu kama makonda, lowasa ana historia ya pekee katika taifa jambao ambalo huwezi kumlinganisha na mtu kama makonda ambaye anajulikana kwa watu wachache tu. Naamini chadema ni chama ambacho kinaangalia watu wenye influence kwenye chama na siyo kuleta watu ambao historia ya maisha yao ya kitaaluma hayaeleweki
Teh.... Naona wema kaja na wafuasi milion 2 kutoka instagram
 
Daudi bin Bashite jana Kanisani alisema tukasome waefeso.
Basi nimemaliza kusoma kitabu chote cha waefeso hapa na sijakuta sehemu yenye vyeti vyake...hah hah hah
 
siku akihamia chadema nadhani ataozea jela maana hapa RITA, immigration, kule necta🙄🙄🙄
Wahenga wana msemo wao usemao akili ni nywele lakini pia jambo la kuambiwa changanya na lako kwa kutumia akili yako .

Hapa nina maana miaka 7 iliyopita chadema waliwahi kumtangaza kuwa lowasa ni fisadi. Viongozi wengine walienda mbali zaidi na kusema wana ushaidi kuwa lowasa alikuwa ni fisadi lakini siku alipohamia chadema hao hao waliomchafua na kumsafisha kuwa si fisadi.

Leo hii mkuu wa mkoa ndugu makonda anaandamwa sana kuhusu vyeti vyake lakini moja wanamuandama ni wafuasi wa chadema .

Swali langu je leo hii ikitokea makonda akajiuzulu na baada ya muda kujiunga na chadema

Je unadhani chadema watazungumzia nini kuhusu makonda.

Je wataweza kumsafisha kama ilivyokuwa kwa lowassa na je unadhani ni nini kitatokeaaa
 
Akitubu na kuacha mabaya alofanya alipopewa uongozi na kuamua kusimamia haki basi hamna matata...
 
Bwana Bashite nasikia kakimbia nchi kaenda Kwa Madiba huko bondeni duuu, kweli sasa nimeamini huyu jamaa mweupe kichwani na vyeti sio vyake.

Hakuna kulala mpaka tumjue Daudi Bashite ni nani ? Ana mahusiano gani na Paul christiani? Halafu tupate historia za elimu zao na vyeti vyao.
 
Back
Top Bottom