The blessed one1
Member
- Dec 13, 2023
- 42
- 131
Ishi maisha yako mkuu, utanishukuru baadaeHabari wanajf
Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo...
Moyo wako unataka nini? Kama unataka mpenzi, tafuta mpenzi. Hakuna msichana anayekuja tu bila kumtafuta au kujiongeza.Habari wanajf
Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo...
DarChuo cha wapi kwanza?
kama kuna shida ya kiafya au kiuchumi achana nayo hiyo kitu sio nzuri kabisa, kiafya na kiuchumi tena ukiwa masomoni....Habari wanajf
Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo...
Kwa mwanaume kama huna jambo inawezekana ila kwa mwanamke ni ngumu sana.Habari wanajf
Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo.
Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo hata boy anatongozwa.
Lakini sasa ni miezi kadhaa tangu nifike chuo sioni dalili zozote za kupata girlfriend. 😊.
Sasa hapa ni aidha nianze kuwa mtongozaji kama jamaa wengine au niishi maisha yangu bila kujali mahusiano.
Nipo kupokea mawazo yenu wakuu.
Habari wanajf
Kipindi tupo O level tulikuwa tunakatazwa kuingia kwenye mahusiano huku tukiambiwa tutayakuta chuo.
Tukaenda advance tukaendelea kutiwa moyo zaidi huku tukisisitiziwa kwamba chuo hata boy anatongozwa.
Lakini sasa ni miezi kadhaa tangu nifike chuo sioni dalili zozote za kupata girlfriend..