Muuza madafu wa Ikulu
JF-Expert Member
- Feb 21, 2024
- 1,640
- 3,747
Hivi hii imekaaje?
Kuna jamaa yangu mmoja ambaye nilileta habari zake humu namna alivyofirisika tokana na kuhangaika na wanawake. Sasa amewehuka na amekuwa kama kijana anayeanza kubalehe kwa kusumbuliwa na wanawake wengi zikiwemo nyumba ndogo?
Hivi inakuwaje mtu mzima unachanganyikiwa na mapenzi namna hiyo?
Kuna kijana mwingine mwenye miaka 30+ namfahamu mmoja tena mwenye maisha mazuri tu na mwenye mke na watoto anataka kujiua kisa mchepuko? Ukikutana naye muda wote analalamika na anaandika status kuhusu kuteswa na mapenzi hadi anafikia hatua ya kutaka kujiua na muda mwingine anaenda kupigana na huyo mchepukp/hawara hadi kazini kwa huyo mwanamke eti anampenda na Mwanamke hampendi.
Hivi hii imekaaje? Nini hasa kinachosababisha haya?
Inasikitisha.