Scared
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,847
- 17,503
Kuna jamaa hapa mtaani ni likubwa miaka 31 Kuna kademu kake kana miaka 18 Sasa sijui imekuaje kamesema waachane Sasa Kuna mshikaji mwingine ndio anatoka nako haka kademu hapa mtaani Sasa huyu jamaa akaanza kukaa nastress na kulia
Yaani tupo nae hapa kijiweni anawaza mpaka kuoga haogi ananuka kikwapa wazee hivi mtu unawezaje kufanya ujinga kama huu Mimi na miaka yangu 28 siwezi kufanya huu ujinga yaani natamani hata kupanda makofi huyu braza