Hivi ikitokea mtoto si wako sheria zinasemaje

Holly Star

JF-Expert Member
Aug 25, 2018
4,317
8,000
Heshima kwenu wanasheria. Ninapanga kwenda kupima DNA first born wangu sababu kadri anavyokuwa mkubwa ndo anaonyesha kabisa si mwanangu maana hafanani na mimi wala mama yake, pia hafanani hata na watoto wa kaka zangu, tumezaa mtoto wa 2 wa kike huyu anafanana na watoto wote wa ukoo yaan familia yetu. Na hii huwa ipo hivo watoto wetu wote wanafanana hasa wa kaka zangu na anafanan na mimi kila kitu.

Nimemlea huyu mtoto hadi sasa ana miaka 14. Ninachouliza nawezakwenda kupima DNA bila mama wala mtoto kufahamu
Na kama ikibainika sio wangu najua hakutakuwa na ndoa tena Je, naweza kudai fidia kwa mama yake?

Ikumbukwe mtoto huyu alizaliwa kabla ya kuoana na kila mtu alikuwa mkoa tofauti mm dar yy dom
 
Kwanza labda kafanana na mababu ambao huwafahamu , pili unakuta uhufahamu ukoo wote , upande wa mama na upande wa baba,
Tatu angalia mlianza mahusiano lini na ukaanza kura tunda lini na ni mda gani mimba ilianza kuonekana baada ya kumla tunda,

Nne je tabia za mtoto haziendani na Koo zenu,

Mwisho kapime DNA Mana watoto wa Mana wanawake wa siku izi wanaliwa sana nje
 
Kwanza labda kafanana na mababu ambao huwafahamu , pili unakuta uhufahamu ukoo wote , upande wa mama na upande wa baba, Tatu angalia mlianza mahusiano lini na ukaanza kura tunda lini na ni mda gani mimba ilianza kuonekana baada ya kumla tunda...
Hapana sisi wote wafupi maana mimi na wife ila mtoto ana 14yrs analingana na mm urefu
 
Nliambiwa nipeleke miswaki yetu, hilo sio gumu ni rahisi sana, ila ktk kufuatilia nikapata jamaa wakenya wao haina longolongo unatuma sample na hela yao then majibu wanakutumia kwa email
 
Mkuu nakushauri potezea tu na huyo mtoto chukulia 100% ni wako ili maisha yendelee.
Kama utapima DNA na kuonesha mtoto sio wako utasababisha uyo Dogo aishi maisha magumu na wewe hutafanikiwa au kuongeza chochote kwenye maisha yako kwa kujua hilo bali utaitesa familia yako kwa kukosa amani.
 
Hakika..nashangaa kaishi na mtoto kwa takribani miaka 14 bado hawajatengeneza "unbreakable bond"?!?..
Nguvu ya Mzazi/Mlezi na Mtoto ni zaidi ya damu mkuu..
Isiwe kisingizio cha kutafuta namna ya kupunguza majukumu..
"Hata huko mbeleni mama aje kusema si mwanao, kitakacho matter ni uhusiano mliokwisha ujenga wewe na "mwanao"..
"Most of Us are social fathers".. alisikika mzee mmoja toka jalalani..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Miaka 14 midogo sana uuko mbele mkishazeeka then unaambiwa sio mwanao huyu wakati huo huna uwezo wa kuzaa tena inauma sana acha nijilipue tu. Kama ni wangu si itakuwa haina shida ila sio wangu mama kwao inamwita
 
Miaka 14 unaita ni kidogo?..basi sawa..
Kwa kauli yako unategemea ukizeeka upate msaada kwa watoto..(nakushauri ondoa hizi fikra unaweza kufa kwa sonona,mtoto anaweza kutangulia mbele za haki,anaweza asiwe na uwezo wa kusaidia,anaweza kuamua asikusaidie hata kama uwezo anao nk)..
Umeshafikiria siku mama/mtoto mwenyewe huko mbeleni akija gundua hizi fikra zako..bila kujali matokeo yake,atakuchukuliaje?..
Ushasema una watoto wengine na huyo mama,kwa maamuzi unayotaka kuchukua,ikaja kugundulika huyo mtoto si wako si ndio kusambaratisha familia!?!.
Unajenga au kubomoa?..
Kaa tafakari,maamuzi unayotaka kuchukua madhara yake kwa wote, sasa na hata baadaye..
Unaweza usikiri,au pengine kwa kutofahamu..yote haya ni excuse eitha ya kumdump mkeo,au kupunguza majukumu ya malezi....

Sijakuomba ushauri huu mkuu, huwezi kunifundisha namna ya kufikiri, pia kuishi na familia yangu, so kama hujui kitu you better keep quiet
 
Imagine ndokaambiwa mtoto si wake...
20211125_205313.jpg
 
Hapana sisi wote wafupi maana mimi na wife ila mtoto ana 14yrs analingana na mm urefu
Kama anaitwa Wakuchepuka Holly star na wewe ushamlea mpaka 14 yrs hakuna shida malizia tu malezi.

Kupima mpime ili upate sababu ya kuachana na mama yake keshazaa watoto wawili katafute mbichi sasa.

Hata ukikuta ni wa kwako we muache tu sababu kwann akuzalie mtoto mrefu?
 
Sijakuomba ushauri huu mkuu, huwezi kunifundisha namna ya kufikiri, pia kuishi na familia yangu, so kama hujui kitu you better keep quiet
Ulipoleta jukwaani..ulitegemea nini..?kila mtu kutoa maoni yake kadri ya mtazamo wake..
Hii ni sawa nami nikwambie futa uzi wako..sina mamlaka hayo...ni busara kuwa muwazi kupokea mitazamo tofauti..haimaanishi lazima uifuate..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Kama anaitwa Wakuchepuka Holly star na wewe ushamlea mpaka 14 yrs hakuna shida malizia tu malezi.

Kupima mpime ili upate sababu ya kuachana na mama yake keshazaa watoto wawili katafute mbichi sasa.

Hata ukikuta ni wa kwako we muache tu sababu kwann akuzalie mtoto mrefu?
,...
Mahusiano yana changamoto nyingi sana..ukishamchoka mtu,unaweza tafuta kisingizio chochote kuvalidate break up..

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
 
Miaka 14 unaita ni kidogo?..basi sawa..
Kwa kauli yako unategemea ukizeeka upate msaada kwa watoto..(nakushauri ondoa hizi fikra unaweza kufa kwa sonona,mtoto anaweza kutangulia mbele za haki,anaweza asiwe na uwezo wa kusaidia,anaweza kuamua asikusaidie hata kama uwezo anao nk)..
Umeshafikiria siku mama/mtoto mwenyewe huko mbeleni akija gundua hizi fikra zako..bila kujali matokeo yake,atakuchukuliaje?..
Ushasema una watoto wengine na huyo mama,kwa maamuzi unayotaka kuchukua,ikaja kugundulika huyo mtoto si wako si ndio kusambaratisha familia!?!.
Unajenga au kubomoa?..
Kaa tafakari,maamuzi unayotaka kuchukua madhara yake kwa wote, sasa na hata baadaye..
Unaweza usikiri,au pengine kwa kutofahamu..yote haya ni excuse eitha ya kumdump mkeo,au kupunguza majukumu ya malezi....

Sent from my SM-A405FN using JamiiForums mobile app
Fact
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom