Hivi ikitokea mtoto si wako sheria zinasemaje

Kama Mtoto umepigwa,hiyo haina ubishi,Chukua majibu ya Mkemia Kama wwe mwenyewe ulisimamia sampuri zote zilizokwenda kwa Mkemia! Usichukuwe majibu ya watu wanao sema kitanda hakizai haramu!!
Mtu anae kuambia kitanda hakizai haramu,anakuongopea huku nyuma anakucheka!!
 
Haya Holly star Mayu huyo hapo, Mwanasheria anaeweza Jenga hoja hadi majibu ya Mkemia yakaonekana hayana maana kutokana na blablaa zake eti tupuuzee uchunguzi wa ki sayansi tusikilize hoja zake!!

Sijui hujaelewa nini ktk maelezo yangu mkuu
Nimetoa hoja mbili
Ya kwanza ya kisheria(afuate utaratibu)
na ya pili ni maoni yangu na jinsi tunavyo ishi(hatupimani DNA)

We baba yako alikupeni?
We umepima wako?
Au unadhani kwamba yeye ndio kwanza kumegewa na kuhisi kuna mtoto umepigwa?

Unaujua mchakato wa kupata kibali ulivyo tight?
 
Kama baba Mzazi una haki kisheria kujua Kama huyu Mtoto ni wako kweli au si wako kweli! Only DNA can tell! Sasa Ugumu wa upimaji wa DNA hapa Tanzania usikutishe kupata ukweli wa Mbegu zako, ni swala la maamuzi tu,hata Nchi Jirani Kama Kenya na South wanapima bila complications zozote zile,siyo lazima upime Tz!!
 
Back
Top Bottom