Hivi huyu mwanamke ni mke wa mtu kweli wakuu?

kyagata

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
13,709
Reaction score
25,487
Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri.

Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini.

Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule binti ni mke wa mtu coz hata kidoleni alikua kavaa pete ya ndoa.

Anyway tulivyoshuka airport aliniachia number ya simu na jioni hii nimemcheck na nikaanza kumtongoza..na hiki ndo alichonijibu wakuu
 
Attachments

  • Screenshot_20260310_181923_Messages.jpg
    Screenshot_20260310_181923_Messages.jpg
    76.4 KB · Views: 8
Nauli ya Ndege ni shingapi? Emu acheni basi kutuona sisi mafala tutawatukana hapa tuonekane wabaya ndege hio ilikua inaelekea wapi Buza au Kimara? Nyanda za juu kusini usafiri wa ndege nauli shingapi? Halafu wewe huwezi ukapanda ndege ukaanza kuongea huo ufala na malaya acha ujinga
 
Siko hapa kujitapa kuwa usafiri wangu ni wa ndege kama ambavyo baadhi yenu mnaweza kutafsiri.

Ila issue nzima iko hivi leo asubuhi nilikua na flight ya kuelekea mikoa ya nyanda za juu kusini.

Pembeni yangu alikaa binti mmoja mrembo aliyekua katulia tuli..katika uchokozi wangu nikagundua yule binti ni mke wa mtu coz hata kidoleni alikua kavaa pete ya ndoa.

Anyway tulivyoshuka airport aliniachia number ya simu na jioni hii nimemcheck na nikaanza kumtongoza..na hiki ndo alichonijibu wakuu
Kwanini unatongoza mke wa mtu? halafu unamuuliza dau lake?

giphy 70.GIF

Nyie wote ni wahuni wenye mambo ya hovyo sana 🚮 🚮 🚮 🚮
 
Nauli ya Ndege ni shingapi? Emu acheni basi kutuona sisi mafala tutawatukana hapa tuonekane wabaya ndege hio ilikua inaelekea wapi Buza au Kimara? Nyanda za juu kusini usafiri wa ndege nauli shingapi? Halafu wewe huwezi ukapanda ndege ukaanza kuongea huo ufala na malaya acha ujinga
Acha wivu wa kike
 
Back
Top Bottom