Hivi huyu fundi nimfanye nini!!

Keyboard sio ya kupandisha picha tu pia inatumika kuandikia. Sasa kwa nini usiandike maneno machache kuelezea Hiyo picha? Ukiandika pia tueleze ulilipa mpunga kiasi gani kwani inawezekana kazi uliyotuonyesha inaendana na hela uliyolipa.
Mkuu huyu fundi nimemtoa kijijini nikampeleka site akawa anakaa huko huko materials nikamwachia na hela ya kutumia siku naenda kukugua ndo nakuta hali hiyo!!
 
mpige
au
kama huna chukua
ukimaliza
 
[emoji2] [emoji2] [emoji2] ,mafundi bhana,labda itakuwa ni mtindo mpya
 
Kuna fundi aliunganisha soketi nyumbani ile sehemu ya earth wire akaweka akaweka waya wa live,afu waya wa earth akaweka sehemu ya live wire......basi kila tukitaka kuitumia soketi hyo circuit breaker inajizima
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…