sasa kama una majibu umekuja kuuliza nini?mkuu,mtu wa hivi ambae yeye anajua kuchat tu unawezaje kuwa na future nae asee?
yeye akija ghetto hajiongezi kwa lolote hata kuosha vyombo ni mpaka nimwambie,muda mwingi yeye anakua kalala tu na kuchat na sijui ndo anachat na mahawara zake au vip maana hata simu yake me sitaki kuizoea.
anafaa kweli kuwa mke huyu wakuu?
Imeamdikwa!!!!!ndio yaliyojadiliwa Beijing hayo mkuu?
Amekuja kupata Dose..sasa kisabengo cha kuja gheto kwangu kakitoa wapi kama anajua sijamuoa?
duh....anyway poaAmekuja kupata Dose..
Ukimwoa atafua,atapika atafanya kazi zote.Ni sawa na wewe ambavyo nafsi yako utakuwa nzito kubebeshwa majukumu ya mme.
Alafu kaja geto unampaje muda wa kupumua na kuchat?Usiwe mzembe.Sometimes ukiwa mzembe sana anafeel bored.Piga machine kisawa sawa akili itamjia tu.
ngoja nikupigie pande umbebe mkuu