Mimi ninaamini binadamu wa sasa ana mambo mengi sana kwa hiyo kuendana na hayo inabidi wote wawili myapunguze ili kuungana na kufanyakitu pamoja.
Je ni nani yuko tayari kuyaacha mambo yake kwa sababu kila mtu sasa ana kaduni kake kwa hiyo kumtoa inabidi uwezo wa Mungu uwepo zaidi