Hivi huyu binti anafaa kuoa kweli?

Hivi huyu binti anafaa kuoa kweli?

Unataka akupe huduma za mke wakati unamwita girlfriend?
 
Yeye akija ghetto hajiongezi kwa lolote hata kuosha vyombo ni mpaka nimwambie, muda mwingi yeye anakua kalala tu na kuchat na sijui ndo anachat na mahawara zake au vipi maana hata simu yake mimi sitaki kuizoea.

Anafaa kweli kuwa mke huyu wakuu?
JIBU UNALO
 
HAPANA kwa herufi kubwa hafai kuoa.
 
Muombe tope atastuka na kukasirika kuwa umemdharau hapo utakuwa umemaliza kazi
 
Yeye akija ghetto hajiongezi kwa lolote hata kuosha vyombo ni mpaka nimwambie, muda mwingi yeye anakua kalala tu na kuchat na sijui ndo anachat na mahawara zake au vipi maana hata simu yake mimi sitaki kuizoea.

Anafaa kweli kuwa mke huyu wakuu?

Huyo ndio mwenyewe, huduma unazotaka hutolewa kwa wanaume waliooa tu. Kwa kawaida, girlfriend huwa hatakiwi hata siku moja kufanya chochote unless amejisikia kukusaidia ama umemuomba.

Unafikiri sifa ya mke ni kuosha vyombo? Hebu fungua hayo macho yako uone zaidi ya vyombo mkuu na uache kulalamika, kuosha vyombo kwa girlfriend ni moja ya sifa ya kuwa mume, niamini, ongeza bidii hutakatika mikono!
 
Back
Top Bottom