Hivi huyu binti anafaa kuoa kweli?

Hivi huyu binti anafaa kuoa kweli?

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Posts
12,072
Reaction score
16,624
Yeye akija ghetto hajiongezi kwa lolote hata kuosha vyombo ni mpaka nimwambie, muda mwingi yeye anakua kalala tu na kuchat na sijui ndo anachat na mahawara zake au vipi maana hata simu yake mimi sitaki kuizoea.

Anafaa kweli kuwa mke huyu wakuu?
 
yeye akija ghetto hajiongezi kwa lolote hata kuosha vyombo ni mpaka nimwambie,muda mwingi yeye anakua kalala tu na kuchat na sijui ndo anachat na mawahara zake au vip maana hata simu yake me sitaki kuizoea.
anafaa kweli kuwa mke huyu wakuu?
Kwanza kiswahili kibovu...mabinti hawaoi badala yake wanaolewa....labda nikuulize unapompeleka huko gheto unampeleka as mpishi,housegirl ama?
 
Hahah hahah hahah mkuu umenichekesha sana dah..obviously human being are lazy in nature they need some force behind ili kuweza kuwasaidia..kama unamtaka awe wako wa maisha utamfundisha mambo mengi na nina hakika atakuelewa! Asipokusikiliza huyo hakufaiiii...mkimbize
 
yeye akija ghetto hajiongezi kwa lolote hata kuosha vyombo ni mpaka nimwambie,muda mwingi yeye anakua kalala tu na kuchat na sijui ndo anachat na mawahara zake au vip maana hata simu yake me sitaki kuizoea.
anafaa kweli kuwa mke huyu wakuu?
hapana sikushauri?? afu screen shoot umtumie ulivo andika naisi apa atajiongeza
 
Ndo tatizo la kutojua types za wanawake....wengine wamezaliwa wawe vyombo vya burudani ya muda tu,sio wakuchukulia serious
 
Mkuu, Kazi ya mwanamke ni moja tuhh

Ni kugegedwaaaaa.

Kazi za kupika, kudeki, kufua na n.k ni dume.
 
Back
Top Bottom