Hivi huyu binti anafaa kuoa kweli?

Hivi huyu binti anafaa kuoa kweli?

Anafaa sana ,oa wawekee masela wajichoteekama unga...


Hivi kwanini mnapambana na ukweli?
kuna type za kuoa
 
Huyo kula nae starehe tu tafuta wa kuoa ukimchoka mtafutie mlango wa kutokea.
 
Akikua ataacha na usipoangalia atakuja kukuaga ukiwa unapiga show nae..
 
ndio maana nikawashirikisha kwanza wadau kabla sijachukua maamuzi magumu ili watu wa human rights wasije lalamika baadae.
Halafu ww suala la kupata mke mwema siyo rahisi kama unavyofikiria.Kuna criteria nyingi.Kuna aina kuu mbili za wadada.Kuna wale wa kuoa na kuna wale wa kustarehe nao.Tabia zao ni parallel
 
Hawa wanawake wasasa hivi wengi wao hawajielewi achananae we tafuta pesa tu hivyo vingine utaongezewa
 
Dalili umeshaziona unataka nini? Nampongeza mwanamke hana unafiki unataka nini? Kifupi hafai sio size yako
 
Usimchoshe binti wa watu, kwao kaosha aje kwako tena akute mivyombo loooh, Ona huruma weyeeee
 
Back
Top Bottom