ZING SOKONI
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 19,512
- 57,115
- Thread starter
- #21
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sio haja kubwa bana, hiyo inahitaji privacy kwa jinsia zote mbili. Ila haja ndogo kwa nyie wanaume mnaweza jisaidia hata mkiwa 20 sehemu moja na ndo maana hata barabarani huwa mnajisaidia... utaona mtu kafungua zipu halafu unasikia chululuu
Hapo sawa,.....ila kama ishu ni haja ndogo kwanini wanawake hawawezi kufanya hivyo,mnaogopana ama vipi!