Hivi huyu alikusudia nini?

Hivi huyu alikusudia nini?

ZING SOKONI

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2014
Posts
19,512
Reaction score
57,115
1474788628595.jpg
 
Hahahahaa nimezoom weeh kile kidude cha kuflashia hadi nimeiona sura ya mpiga picha heheheh.

Back to the topic;
1. Two in one
2. For twins
3. For master bedroom (hakuna kugongeana kila mtu anajisevia na kusafisha chake)
4. For men na special for peeing only as men can pee in public so it's not a problem for two men to pee while seeing each other in short while men peeing they don't need a privacy compared to women.
5. Showroom
6. We mtoa mada unafikiri mjenzi alikusudia nini?
 
Na nyie mnahitaji privacy wakati wa kupee? Mnaogopa kuchunguliana vidude vyenu?
 
Tukiwa haja yoyote inabidi tuchojoe nguo juu sasa hapo ndo panakuja pa kujificha mauno yako maridhawa yasionekane. Privacy muhimu sana kwa wadada.
 
Sasa kama mnaonana wenyewe kwa wenyewe Chaajabu ni kipi hapo? Au mnapigana picha?
Tatizo nyie wanawake kitu kidogo mnaanzishiana mada, Yani mtu akiona rangi ya pichu ya mwenzake basi ataenda ijadili kwananini kavaa red asivae Green,,,,
 
Labda anaogopa plastic lake la chura lisionekane
 
Sasa kama mnaonana wenyewe kwa wenyewe Chaajabu ni kipi hapo? Au mnapigana picha?
Tatizo nyie wanawake kitu kidogo mnaanzishiana mada, Yani mtu akiona rangi ya pichu ya mwenzake basi ataenda ijadili kwananini kavaa red asivae Green,,,,
Teh teh teh...

Na wewe unakuwaga kwenye hivyo vijiwe vya wadada?
 
Sasa kama mnaonana wenyewe kwa wenyewe Chaajabu ni kipi hapo? Au mnapigana picha?
Tatizo nyie wanawake kitu kidogo mnaanzishiana mada, Yani mtu akiona rangi ya pichu ya mwenzake basi ataenda ijadili kwananini kavaa red asivae Green,,,,

Bora umeligundua tatizo. ....
 
Hahahahaa nimezoom weeh kile kidude cha kuflashia hadi nimeiona sura ya mpiga picha heheheh.

Back to the topic;
1. Two in one
2. For twins
3. For master bedroom (hakuna kugongeana kila mtu anajisevia na kusafisha chake)
4. For men na special for peeing only as men can pee in public so it's not a problem for two men to pee while seeing each other in short while men peeing they don't need a privacy compared to women.
5. Showroom
6. We mtoa mada unafikiri mjenzi alikusudia nini?
Aisee mimi siwezi kukaa na mwanaume mwenzangu tukaanza kushusha vitu huku tunaonana.[emoji23] [emoji23]
 
Sio haja kubwa bana, hiyo inahitaji privacy kwa jinsia zote mbili. Ila haja ndogo kwa nyie wanaume mnaweza jisaidia hata mkiwa 20 sehemu moja na ndo maana hata barabarani huwa mnajisaidia... utaona mtu kafungua zipu halafu unasikia chululuu
 
Back
Top Bottom