Nimjibu nini huyu wakuu?

Nimjibu nini huyu wakuu?

kyanyangwe

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2018
Posts
1,512
Reaction score
4,373
Ivi ni waoaji tumepungua au ni nini?
How comes mwanamke ananiuliza swali kama hili?
Nimjibu nini?
 

Attachments

  • Screenshot_20261104_170723_WhatsApp.jpg
    Screenshot_20261104_170723_WhatsApp.jpg
    23.6 KB · Views: 12
Hivi ni kuwa wanaume weye akili timamu wamepungua au ni nini?
Sasa hili nalo ni swali la kuleta mtandaoni kweli?
Ndio swali hilo jibu km unamboo iliyosimama unamuoa lini ili uanzekumtomba bila kutumia gharama kubwa maana anakua tu ameipaki kila ukiitaka unaikamata unaichapa
 
Kwa maana nyingine hilo swali halina shida ila shida ni je nani anaonekana wa hovyo, unajua mpaka mwanamke amekuuliza hivyo ameshakuona huna maamuzi anaona ngoja akustue kidogo na akufundisha namna ya kuwa mwanaume maana kaona bila kuongozwa huendi
 
Una simu mbili umejitumia message mwenyewe ili tukuone nawe una mtu anakupenda.
Acha utoto
Mwanamke akikuwambia umuoe mara nyingi haimaanishi kuwa anakupenda, maana yake ni kuwa ameona umri wake unazidi kwenda na idadi ya wanaume wanaomtongoza inazidi kupungua hivyo anataka ku settle mapema Isenye
 
Back
Top Bottom