Hivi huwa mna nini wadada?

Hivi huwa mna nini wadada?

Mwanaume wa kweli anatafuta hela, akipata anatumia nao. Sio nae, nao.
 
Bad boys hupendwa sana na wanawake waweza kuwa mstaarabuuuuuuuu hlf demu wko anamuelewa sana mpuuzi flani tu hko nje hana mpnz ya kweli,hajali,katili,muhuni tu ila demu wko ndio hasikii haoni we unatumia nguvu nyng kumtuliza mwenzio akili yke yote ipo hko!

Sent using Jamii Forums mobile app
Anapigwa kibangibangi
Wewe unamlegezea tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Blocking is for kids BTW girls wanapenda mikiki mikiki ya badboys nyie ambao mko humble mna boa [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji16]naww mtoto eeeh hahaha ...kalikizo.kangu kameenda swafi sana mkuu mambo.mazito sana nilipewa.[emoji1]

*I shall kindly Knee to leave my Pride*
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom