Hivi guys, hii hali huwa inasababishwa na nini?

Carleen

JF-Expert Member
Nov 6, 2018
7,476
24,978
Hi everybody,

Hope mnaendelea poa na majukumu ya kulisongesha gurudumu la maisha,

Mie naomba tu kuuliza maana hii hali huwa inajitokeza sana endapo nikikaa the same place for months, najipata i am just tired of the same people, same routine, same lifestyle, yaani naboreka hasa na wakati mwingine hadi amani nakosa ila sababu wala hata hakuna, na unakuta sijakosana na yeyote yule kusema labda mtu kaniboa hapana ..!

Inafikia mahali unajikuta job panaboa, nyumbani panaboa, huoni hata pa kukimbilia ndo maana wengine tunazamia humu JF tunakuwa addicted maana huku ulimwenguni panachosha..!!

Naombeni kujua jinsi ya kuikabili hii hali, maana hapa nahisi nishachoka kila kitu..!!

'I'm not sad, I'm not happy, I'm just tired of everything'..!!
 
I think this qn is too personal mkuu,
Huenda tatizo lako linaanzia hapo Miss SweetieLee, unajua wakati mwingine hawa wapenzi wetu hutufanya tujisikie kuwa na amani tunapokuwa tuko nao karibu.

Embu fanya kubadilisha your daily routine weka hata ratiba ya kuonana na mpenzi wako angalau hata mara 3 hadi 4 kwa wiki na kuonana huko sio kila siku ni kubanduana hapana kuna kupiga story n.k na imani huwezi kuwa bored kabisa.

Kwa mfano mimi nikiwa niko bored, yaani ile kuongea na mpenzi wangu kwenye simu tu najikuta niko na furaha tu, labda itokee kwa upande wako Mr wako yuko mbali.

Kuwa na mpenzi wako kwa karibu ni tiba tosha Mkuu.
 
Hapa yeah at least nimekuelewa vizuri mkuu wangu,
Ahsante sana kwa ushauri..!!
Kuwa na amani mkuu, stick to your man na mambo yatakuwa safi stu. Najua utakuwa na marafiki wa ku hang out nao but najua hawawezi kukupa ila mood yenyewe kama ile ukitoka out na Mr wako.

So, balance muda wako mkumbuke baba mwenyewe na umpe masaa yake pia.
 
Huwa unafanya nini to entertain your mind, body and soul?

You have some kind of routine ambayo inakuchosha mfano Kazini - nyymbani. Nyumbani-kazini, ukifika nyumbani umeoga, umekula, tv kidogo then kulala. Ukifika kazini umefanya kazi umemaliza nyumbani. (hii routine kwa siku saba za wiki, siku 365 za mwaka lazima uwe na boring life ambayo wewe mwenyewe inakuboa)
 
Nawasubiri manguli wa mahaba waanze kutiririka! (washauri nasaha wa mapenzi na mahusiano)

Maana ndicho wanachokiweza!
It gives out some kind of relieves wakati mwingine, so huo ushauri ni muhimu sana!
 
Back
Top Bottom