Hivi huwa mna nini wadada?

Hivi huwa mna nini wadada?

The Butcher

JF-Expert Member
Joined
May 24, 2015
Posts
346
Reaction score
498
Salam wakuu.. Hope mko mnaendelea vizur na weekend..

Straight to the poiht huwa nawaza sana huwa mwanamke yukoje sielewii.. I have a bit of experiemce kwa mahusiano niliowahi pitia kuna ambao nilipenda kweli ***** but i was kicked of na hao hao unakuta anasema all she needs is love and i gave her... But what i got Daah

Nikaanza kuchange sipendi ni kumlike tu mwanamke yaani i dont get shaken kwa mauzauza yake na kutomtreat ipasavyo ila unakuta unaemtreat vibaya ndo anakupendaa mpka basi duuuh...

Anablock na ku unblock kwa wiki kama mara tatu ivi[emoji23]

Hivi huwa mna nini viumbe nyie??

Asanteni!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bad boys hupendwa sana na wanawake waweza kuwa mstaarabuuuuuuuu hlf demu wko anamuelewa sana mpuuzi flani tu hko nje hana mpnz ya kweli,hajali,katili,muhuni tu ila demu wko ndio hasikii haoni we unatumia nguvu nyng kumtuliza mwenzio akili yke yote ipo hko!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bad boys hupendwa sana na wanawake waweza kuwa mstaarabuuuuuuuu hlf demu wko anamuelewa sana mpuuzi flani tu hko nje hana mpnz ya kweli,hajali,katili,muhuni tu ila demu wko ndio hasikii haoni we unatumia nguvu nyng kumtuliza mwenzio akili yke yote ipo hko!

Sent using Jamii Forums mobile app
Yani mkuu sijui ni kwann yani mtt unamtreat kama princess lakini waapi..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahaaa sijaelewa kilichoandikwa ngoja nirudie tena kusoma.
 
  • Thanks
Reactions: ABJ
kwani tatizo lako nin mkuu!!? umeachwa au!? hata maandko yanasema unapaswa uishi nao kwa makini sana.
 
Ukiwa mwehu ndio utaenda nao sawa,tatizo lako unajifanya baba paroko

Tecno sio Simu[emoji23]
 
Women don't hate "nice guys", they just don't like people who are boring and exhibit neediness
 
Tafuta wapenzi wenye kuanzia miaka 30 hao ndio watu wazima,chini ya hapo ni pasua kichwa kwa sababu wako kwenye umri wa kusumbuliwa na wengi wenye swaga tofauti
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom