Sasa tangu juzi vituo vyote vya mafuta Dar Bei wamepaisha... serikali iko wapi!? Au wote wako busy na msiba?Siko EWURA, kwa hiyo nakomenti tu kama mpitanjia. Vituo vya Mafuta mengine ikikaribia Jumatano ya kwanza ya mwezi ujao, na wakijua mwezi ujao bei itapanda sana, basi wao hufunga Vituo vyao vya mafuta mpaka ifike siku ya bei mpya. Hii ni ili waweze kuuza mafuta yaliyoko kwa bei mpya...
Zitaifishwe tu hivyo vituo vya mafuta zinazobana mafuta na kupandisha bei kiholela.... mafuta kwenye soko la dunia yalifikwa kugaiwa burebana huku tunauziana buku jero kwenda mbele, hawana hata aibu.
Straight to the point...imekua kawaida kwa muda mref, mabadiliko ya Bei ya mafuta ni kila jumatano ya mwezi husika..!
Hapa wauzaji si ndio watakua wanapanga na kukubaliana tu na kuuza bei watakavyo kwa umoja kama wanavyofanya makampuni ya simu au ya simenti. Mfano Unakuta Buku unapata mb500 na dakika 10 na SMS 100 (tigo, voda,airtel nk kote wanafanana). Simenti kampuni zote bei inalingana nkTukirudi je kwenye soko huria? Waonaje?
Kituo gani umeweka mafuta 1,800/- hapa Dar? Jana nimeweka Puma kwa bei elekezi.Straight to the point...imekua kawaida kwa muda mref, mabadiliko ya Bei ya mafuta ni kila jumatano ya mwezi husika... either kupanda au kushuka,au kubak palepale...mwez ulopita tulinufaika na corona huko dunian petrol tukauziwa buku jero...ila mwez huu ikapanda kdgo hd 1600.ila mwezi huu July kumekua na kupanda kiholela bila taarifa maalum....yaan unalala unaamka unakuta imepanda sh mia...Mara sh70... yaani vagalant!!!...bila taarifa...bila mazoea ya once per month...ss hv iko 1800+ kwa dar!!!heb nyie ewura mlioko humu tufafanulieni...huu upandishaji holela mnapandisha nyie,au ukaid wa wamilik wa shell!!?shubaaaamit!!!
Cartel.Hapa wauzaji si ndio watakua wanapanga na kukubaliana tu na kuuza bei watakavyo kwa umoja kama wanavyofanya makampuni ya simu au ya simenti. Mfano Unakuta Buku unapata mb500 na dakika 10 na SMS 100 (tigo, voda,airtel nk kote wanafanana). Simenti kampuni zote bei inalingana nk
Sikuwa nafahamu hii tekniki ya kusubiri jumatano, ahsante kwa kunijuza.Siko EWURA, kwa hiyo nakomenti tu kama mpitanjia. Masheli mengine ikikaribia Jumatano ya kwanza ya mwezi ujao, na wakijua mwezi ujao bei itapanda sana, basi wao hufunga sheli zao mpaka ifike siku ya bei mpya. Hii ni ili waweze kuuza mafuta yaliyoko kwa bei mpya...
Wahuni wamiliki wa sheli wataunda Cartel ya kupandisha beiTukirudi je kwenye soko huria? Waonaje?
Nakumbuka enzi hizo nilikuwa na Toyota Mark II, Double Twincam Super Charger, nikazama kituo Cha Big Bon, nikaweka full tank ili nisafiri.Siko EWURA, kwa hiyo nakomenti tu kama mpitanjia. Vituo vya Mafuta mengine ikikaribia Jumatano ya kwanza ya mwezi ujao, na wakijua mwezi ujao bei itapanda sana, basi wao hufunga Vituo vyao vya mafuta mpaka ifike siku ya bei mpya. Hii ni ili waweze kuuza mafuta yaliyoko kwa bei mpya...
Shell ni synonym ya petrol station na kwa muktadha wa mada imesimama hivo acha kuleta ujuaji.Sio kila kituo cha kujaza mafuta ni mali ya kampuni ya "SHELL" vingine ni vya Puma, Total, Lake, Oilcom, etc
Hebu ongeza sauti kidogo, umesemaaShell ni synonym ya petrol station na kwa muktadha wa mada imesimama hivo acha kuleta ujuaji.
Nimeona baadhi maeneo ya Goba huku. Imefika 1872Kituo gani umeweka mafuta 1,800/- hapa Dar? Jana nimeweka Puma kwa bei elekezi.
Hii ni kweli jana nimezunguka petrol stations 4 wanasema hawana petrol wanauza diesel tu. Nkaja kupata kwenye ya petrol station ya 5 na wanauza 1800 na usheeSiko EWURA, kwa hiyo nakomenti tu kama mpitanjia. Vituo vya Mafuta mengine ikikaribia Jumatano ya kwanza ya mwezi ujao, na wakijua mwezi ujao bei itapanda sana, basi wao hufunga Vituo vyao vya mafuta mpaka ifike siku ya bei mpya. Hii ni ili waweze kuuza mafuta yaliyoko kwa bei mpya.
Nakumbuka Mheshimiwa Mkapa (Apumzike Kwa Amani) alipokuwa madarakani, aliondoa mambo ya bei ya serikali kwenye bei za mafuta. Aliliachia soko liamue. Ndio maana utakuta palikuwa kila kituo cha mafuta na bei yake. Halafu pili aliruhusu kila kampuni kuagiza mafuta yenyewe. Soko huria.